Mbunge Munde: Rais Samia hakuahidi Katiba Mpya, msitupangie

Mbunge Munde: Rais Samia hakuahidi Katiba Mpya, msitupangie

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
 
Anajua hii katiba mbovu ndio inamfanya aitwe mbunge wa viti maalum iliyompa ajira.

Tunataka Katiba Mpya itakayomfanya kila mtanzania aione thamani yake ndani hii nchi, sio kila kitu kuamuliwa na CCM na taasisi zake.

Enough.
 
Tungekuwa na wabunge wenye busara hilo lisingekuwa na ubishi
 
Kama mawazo yenyewe ndiyo hayo tutafute sayari ya kuishi Wala sio hii!Hapo ndipo unapogundua katiba hii ni mavi haipaswi kutumika tena
 
Mwambie kwanza atibu li uso lake lililovimba kutokana na oparesheni aliyefanya Nairobi ya kuchuna ngozi ya uso , akaambiwa akae ndani akajitia kushiriki msiba wa Jiwe now she's suffering side effects , hata akili haitakuwa vizuri .
 
Kuhusu katiba mpya kwa Rais wa sasa na bunge hili la CCM watupu,tusahau tu ndugu zangu.
Bakini kwenye mitandao tu kukosoa na kulaumu.
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
Ana haki ya kutetea tumbo lake! Maana kwenye Rasimu ya Katiba Mpya ya Wananchi, huo Ubunge wa Viti Maalum na ule wa Kuteuliwa na Rais ulifutiliwa mbali.
 
Back
Top Bottom