Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Hao wabunge wengi wao waliwekwa bungeni kwa ubabe wa Jiwe.Wengi hawakuchaguliwa na wananchi.Jiwe mwenyewe alishawahi kukiri,'' Watu wenyewe hamkuchaguliwa na wananchi''.Mtu ambaye amepata nafasi kimagumashi unategemea nini zaidi ya kulinda maslahi ya tumbo lake?