Mbunge Munde: Rais Samia hakuahidi Katiba Mpya, msitupangie

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
Kumbe majuha na waropokaji bado wapo...
 
Yaani wabunge wa CCM na suala la katiba mpya utadhani kama mtu ambaye kachukuliwa mke.
Hawataki kusikia hata siku moja. Haingii akilini katiba ya mwaka 1977 tukomae nayo mpaka leo.
Ikizingatiwa ina mapungufu mengi sana
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
Masikini hata hajui kwamba, kuwa na katiba bora ndiyo maendeleo yenyewe hayo...

Tumsamehe bure tu huyu mama. Na hili ndilo tatizo la kuwa na wabunge wa kuokoteza kwa jina la " maalumu"...

Umaalumu wao ndiyo huu, kubeba ujinga vichwani na midomoni mwao na kuutema ktk jamii..
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
Huyu Bibi alitakiwa alee wajukuu na si vinginevyo. Unampeleka bungeni mtu Ana kichwa Cha kuku mlitegemea aseme nini?
 
1617176669907.png
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
Kwa akili hizi naona hata bungeni ulifika kwa makosa sana, tena hukustahili kuishi ktk karne hii ya leo, mwisho wako ulitakiwa kuwa karne ya 15.
 
Mwambie kwanza atibu li uso lake lililovimba kutokana na oparesheni aliyefanya Nairobi ya kuchuna ngozi ya uso , akaambiwa akae ndani akajitia kushiriki msiba wa Jiwe now she's suffering side effects , hata akili haitakuwa vizuri .
Mshahuri wala hatubadili katiba tutaitumia katiba hiyohiyo kusimama uchaguzi kisheria kama Mabeyo alivyo simamia Mama Samia asiporwe na maccm akina Lukuvi kumpora

Hivyo hiyo Police mtatulia na kusimama uchaguzi wa haki ukitendeka lasivyo Kauli itashuka toka juu Jwtz hawashindwi kusimamia chaguzi
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
Na Mheshimiwa Samia akikubali mchakato wa Katiba mpya yeye atafanyaje??.
 
Huyu ndiye msemaji wa Rais ?, Au yeye ndio anampangia ?

By the way ni wananchi ndio wanapaswa kudai / au ni watawala ndio wanapaswa kutoa kama zawadi ?
 
Anajua hii katiba mbovu ndio inamfanya aitwe mbunge wa viti maalum iliyompa ajira.

Tunataka Katiba Mpya itakayomfanya kila mtanzania aione thamani yake ndani hii nchi, sio kila kitu kuamuliwa na CCM na taasisi zake.

Enough.
Unataka au unaomba?
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
Tanzania ni yetu sote, hii takataka za CCM bado zina yale mawazo ya zamani ya Magufuli.
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
Ukiwa mbunge wa ccm lazima akili zako zikae kando
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
Tutatekeleza yaliyomo kwenye ilani ni mengi sana ili la katiba likiwekwa kwenye ilani litatekelezwa kwa sasa tunayo mengi sana msitutoe njia kuu
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
Kwanini wanaogopa sana katiba mpya? Kikwete alibugi sana kuondoka madarakani bila kuipitisha katiba mpya
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.

My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?

Chanzo: Mwanahalisi
Hili ndio tatizo la waandishi wa habari Tanzania, hawajui kuuliza masuali au wanaogopa kuuliza masuali, matokeo yake wanaandika wanachosikia tu. Hapa walikuwa na chance nzuri ya kumuuliza Tambwe kwa nini anamsemea Raisi, jee yeye amekuwa msemaji wa raisi? Jee rais amemruhusu kuyasema hayo? Jee mheshimiwa rais ameyasema hayo?
 
Back
Top Bottom