OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wanaogopa hawaturudi bungeniView attachment 1739266
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Kabisa mkuu hivi katiba mpya CCM inawapa shida kwanini, na kwanini wapoteze fedha nyingi katika mchakato uliopita?View attachment 1739266
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Mkuu kwani anasema uongo ndugu zangu?View attachment 1739266
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Ukiwasikiliza wapumbavu kama hawa ndio walio kuwa wanamdanganya meko hadi anakufa, hawa ni wakuwapuuza tu.View attachment 1739266
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Wewe mwenyewe hii katiba iliyopo inakupunguzia nini?,View attachment 1739266
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Ni yeye mkuu. executive payerHuyu ndiye yule wa "BIG SEX PAYERS" au wamefanana tu ....!!
Ndio shobo yenyewe inayokera toka kwa wabungeHawa wanajifanya ni wamiliki halali wa Tz na wengine ni wapangaji
Hovyo kabisaNdio shobo yenyewe inayokera toka kwa wabunge
Ana haki ya kutetea tumbo lake! Maana kwenye Rasimu ya Katiba Mpya ya Wananchi, huo Ubunge wa Viti Maalum na ule wa Kuteuliwa na Rais ulifutiliwa mbali.Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Mbona ni kama anajiweka katika umoja na Rais?Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.