Kumbe majuha na waropokaji bado wapo...Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Masikini hata hajui kwamba, kuwa na katiba bora ndiyo maendeleo yenyewe hayo...Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Huyu Bibi alitakiwa alee wajukuu na si vinginevyo. Unampeleka bungeni mtu Ana kichwa Cha kuku mlitegemea aseme nini?Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Kwa akili hizi naona hata bungeni ulifika kwa makosa sana, tena hukustahili kuishi ktk karne hii ya leo, mwisho wako ulitakiwa kuwa karne ya 15.Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
Mshahuri wala hatubadili katiba tutaitumia katiba hiyohiyo kusimama uchaguzi kisheria kama Mabeyo alivyo simamia Mama Samia asiporwe na maccm akina Lukuvi kumporaMwambie kwanza atibu li uso lake lililovimba kutokana na oparesheni aliyefanya Nairobi ya kuchuna ngozi ya uso , akaambiwa akae ndani akajitia kushiriki msiba wa Jiwe now she's suffering side effects , hata akili haitakuwa vizuri .
Na Mheshimiwa Samia akikubali mchakato wa Katiba mpya yeye atafanyaje??.Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Ni either mkubali kuwa wapangaji, au mkubali kuongozwa na CCM Ili na nyinyi mjihisi kama wamiliki wa Tanzania.Hawa wanajifanya ni wamiliki halali wa Tanzania na wengine ni wapangaji.
Unataka au unaomba?Anajua hii katiba mbovu ndio inamfanya aitwe mbunge wa viti maalum iliyompa ajira.
Tunataka Katiba Mpya itakayomfanya kila mtanzania aione thamani yake ndani hii nchi, sio kila kitu kuamuliwa na CCM na taasisi zake.
Enough.
Tanzania ni yetu sote, hii takataka za CCM bado zina yale mawazo ya zamani ya Magufuli.Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Ukiwa mbunge wa ccm lazima akili zako zikae kandoMbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Tutatekeleza yaliyomo kwenye ilani ni mengi sana ili la katiba likiwekwa kwenye ilani litatekelezwa kwa sasa tunayo mengi sana msitutoe njia kuuMbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Kwanini wanaogopa sana katiba mpya? Kikwete alibugi sana kuondoka madarakani bila kuipitisha katiba mpyaMbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Hili ndio tatizo la waandishi wa habari Tanzania, hawajui kuuliza masuali au wanaogopa kuuliza masuali, matokeo yake wanaandika wanachosikia tu. Hapa walikuwa na chance nzuri ya kumuuliza Tambwe kwa nini anamsemea Raisi, jee yeye amekuwa msemaji wa raisi? Jee rais amemruhusu kuyasema hayo? Jee mheshimiwa rais ameyasema hayo?Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Wewe mpiga debe subiri kufa maskini mpuuzi weweNi either mkubali kuwa wapangaji, au mkubali kuongozwa na CCM Ili na nyinyi mjihisi kama wamiliki wa Tanzania.