Mimi sio fukara kama wengi wenu mlivyo huko CDM. Ndomaana hutanikuta naanzisha nyuzi au kuandika comment za kulia maisha magumu, kama mnavyofanya nyinyi.Wewe mpiga debe subiri kufa maskini mpuuzi wewe
Ujinga uliopitiliza.Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu kwenye reli. Hawawezi kutupangia, tutajipangia wenyewe.
My Take/Hoja
Kwani Tanzania ikipata katiba mpya huyu mbunge na wanaomtumia wanapungukiwa nini?
Chanzo: Mwanahalisi
Mpuuzi wewe kati ya wateja wa CCM na CDM ni wapi wanaishi maisha magumu? angalia ndugu zako Dom, Singida, Morogoro, Tabora, sijui Katavi n.kMimi sio fukara kama wengi wenu mlivyo huko CDM. Ndomaana hutanikuta naanzisha nyuzi au kuandika comment za kulia maisha magumu, kama mnavyofanya nyinyi.
Mlianza kwa kujipendekeza "Oohh mama yetu[emoji23]",mmepigwa chenga moja tu mpka sasa hamuelewi, either muendelee kujipendekeza CCM, au meundeleza ile ligi mliodhai imeisha.
Tafuta hela usije kufa kibudu.
Usitake kujificha kwenye kikundi cha watu waliofanikiwa.Wewe hata comment zako humu zinakuumbua,kwasababu zote ni za kulilia ugumu wa maisha.Tafuta hela kabla hujaolewa [emoji28]Mpuuzi wewe kati ya wateja wa CCM na CDM ni wapi wanaishi maisha magumu? angalia ndugu zako Dom, Singida, Morogoro, Tabora, sijui Katavi n.k
Sawa nisaidie tajiriUsitake kujificha kwenye kikundi cha watu waliofanikiwa.Wewe hata comment zako humu zinakuumbua,kwasababu zote ni za kulilia ugumu wa maisha.Tafuta hela kabla hujaolewa [emoji28]