Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Furaha yako hii, hata shetani hawezi kukutimizia!Wabunge wa ccm hawa hata wakifa wote poa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furaha yako hii, hata shetani hawezi kukutimizia!Wabunge wa ccm hawa hata wakifa wote poa tu
Kweli mkuu zile ni mbwembwe tu ukitutoka umetutokaMisiba ya hawa jamaa haina mambo mengi ingekuwa Sisi ni mwendo wa wiki mbili bado tunafanya maonesho tu
NonsenseWabunge wa ccm hawa hata wakifa wote poa tu
Sad indeedMbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima, Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko zinafanyika.
Kwa mujibu wa taarifa mwili wa marehemu unapelekwa kijijini kwao Bwejuu kwa ajili ya maziko yanatarajiwa kufanyika saa kumi leo baada ya sala ya alasiri.
View attachment 2385811
View attachment 2385744
Amani na tozo hizi alizoweka ??
Apumzike Kwa Amani
Moto WakeAmani na tozo hizi alizoweka ??
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima, Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko zinafanyika.
Kwa mujibu wa taarifa mwili wa marehemu unapelekwa kijijini kwao Bwejuu kwa ajili ya maziko yanatarajiwa kufanyika saa kumi leo baada ya sala ya alasiri.
View attachment 2385811
View attachment 2385744