TANZIA Mbunge Mussa Hassan Mussa Silima, afariki dunia

Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima, Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko zinafanyika.

Kwa mujibu wa taarifa mwili wa marehemu unapelekwa kijijini kwao Bwejuu kwa ajili ya maziko yanatarajiwa kufanyika saa kumi leo baada ya sala ya alasiri.
View attachment 2385811
View attachment 2385744
Sad indeed
 
Duu!hata hajapoa vizuri watu wanapokezana chepe,khaaaaa!!!pole sana akana yakheeee
 
Back
Top Bottom