Mkuu wa mkoa yupi? Huyu wa sasa mwanamama? Kama ni Robert Gabriel Luhumbi ambaye alikuwa geita na sasa yupo mwanza nae ni msukuma mkuu. Hoja yako kwa mbunge Msukuma ya ukabila haina mashiko ni upuuzi tu Msukukuma anazungumza ukweli wake na anahaki ya kutoa maoni kama Diallo alivyotoa.Kiboko yake ni yule RPC wa Geita, Alijifanya kumletea majungu siku alipoingia kwenye 18 zake, akitegemea aliyekuwa akimsifia jiwe kuwa angeingilia kati wapi!!yaani jamaa anajipendekeza hadi bosi ana kasirika!!!na siku zote agenda zake huwa ni za kikabila tu,