Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

Mkuu wa mkoa yupi? Huyu wa sasa mwanamama? Kama ni Robert Gabriel Luhumbi ambaye alikuwa geita na sasa yupo mwanza nae ni msukuma mkuu. Hoja yako kwa mbunge Msukuma ya ukabila haina mashiko ni upuuzi tu Msukukuma anazungumza ukweli wake na anahaki ya kutoa maoni kama Diallo alivyotoa.
 
Binafsi sijawahi kumuona Msukuma mfupi na mwembamba, sijawahi pia kuona Msukuma mbishi kama Msukuma, nina hakika Msukuma sio Msukuma. Nipo tayari kukosolewa; halafu sorry, hivi na yeye si alikuaga kambi ya Lowassa? Si alikwenda hadi Arusha na choppper yake wakati Lowassa anazindua kampeni zake? Nakumbuka Ephraim Kibonde wa (RIP) wa clouds media akiwa MC wa shughuli, yeye nae hilo analisemeaje?
 
Wewe umekuwa lini mzee wa Wasukuma?
Alichosema Msukuma ndo msimamo wa Kanda ya Sukuma gang mnayoizodoa Kila siku mtandaoni.
Ah! Wapi! Tutake radhi watu wa kanda ya ziwa hatuwezi kuwa na msimamo wa kijinga namna hiyo
 
Hakuna anayepinga msukuma kutoa mawazo. Tunachopinga sisi ni msukuma kutuingiza watu wote wa kanda ya ziwa kwenye maoni yake na kusema kwamba sisi ndio tuliomtuma wakati si kweli
 
Huyu Musukuma la saba aanze kushikishwa adabu za kisomi sasa, Sio kila kitu anarukia kujifanya anajua kumbe anachekesha tu
 
Mimi wote nawakubali.
Kila mmoja amesema ukweli wake kwa uzoefu ndani ya chama na nje ya chama.
Kama hawajasema ukweli mbona hawakamatwi kama wachochezi.
Tatizo ni nini
 
Ndio tatizo la kukurupuka, wapi nimeongelea RC??Sasa nani mpuuzi kati yangu na wewe ambaye umeshindwa kutofautisha kati ya RPC, na RC?!!, Mimi nazungumzia RPC, Mwaibambe,
 
Asante. Nashukuru
 
Kwa kweli kasheku musukuma ni hopeless na ni mtu wa kujipendekeza.Hafai kabisa. Ovyo.
 
Huyu msukuma alikuwa ni chawa pro max wa Jpm na kwenye kambi ya lowassa alienda kimkakati kuratibu (kusinichi) kila kilichokuwa kinaendelea kule na kupeleka taarifa kwa jpm ameishi hivyo hivyo kwa usinitch na kuchongea watu kwa jpm hadi wengine kufukuzwa kazi na kuvuliwa nyadhifa za chama. Sasa usinitch wake anataka aulete pia kwa mama ila uzuri mama anamfahamu vizuri hata hana time naye
 
Msukuma darasa la saba ni nembo muhimu ya watu wa Kanda ya ziwa
Ni darasa la saba lakini wenye elimu kumzidi wanaomba ajira kwake !!

Elimu ya kwenye makaratasi mmeshindwa na wasio na elimu ya makaratasi.
Kaeni nao hao darasa la saba kwa akili sana, wanawazidi mengi.
 
Na tunavyomuona mnamuachia aropoke hivi mnatufanya tuamini kuwa watu wa kanda ya ziwa wote mna akili kama za huyo musukuma ndiyo maana mnamtuma awawakilishe.
 
Mzee Diallo yuko sahihi kwa 100%.
Your browser is not able to display this video.
 
Tangu lini mkuu umekuwa mzee au na wewe unawasemea wazee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kasema RPC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…