fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akatae na magari aendelee kupanda punda maana hata V8 zimekuja majuzi tu hapa...wanasiasa kwakusaka kiki bwana alafu utakuta wapo wafuasi wake wanamshangilia kweli na kumuita shujaa kama wale waliokuwa wanadeki barabara
WAGANGA BWANA NI MWISHO WA HABARI WANAWEZA WAKASABABISHA MTU UKALALA HATA MAKABURINI!!!Mbunge wa Geita, Musukuma Kasheku amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band.
Sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya fasheni.
Ona simu yake kupitia video chini
Ikiibiwa ataumia sana.[emoji23][emoji23][emoji23]ufanyike mpango aibiwe tu ili anunue nyingine
Mazoea hayo, siku ikipotea au kuharibika utaumia sana japo inathamani ndogo na ni zeefu.Ht mm ninayo yangu, Nokia105 ya kitochi nlinunua 2008....japo nina cm zngne mbili za smart lkn hii siiachi labda ipotee au iibiwe, naip3nda sana!
Hiyo simu ndo imebeba power bank (hirizi)ya MusukumaMbunge wa Geita, Musukuma Kasheku amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band.
Sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya fasheni.
Ona simu yake kupitia video chini
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Akiri yake anaiua mwenyewe uyo,kwanza ataitumiaje wakati hajui kithungu.