Mbunge Musukuma akataa kuiacha simu yake ya miaka 10, asema hataki ulimbukeni

Mbunge Musukuma akataa kuiacha simu yake ya miaka 10, asema hataki ulimbukeni

Akatae na magari aendelee kupanda punda maana hata V8 zimekuja majuzi tu hapa...wanasiasa kwakusaka kiki bwana alafu utakuta wapo wafuasi wake wanamshangilia kweli na kumuita shujaa kama wale waliokuwa wanadeki barabara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbunge wa Geita, Musukuma Kasheku amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band.

Sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya fasheni.

Ona simu yake kupitia video chini


WAGANGA BWANA NI MWISHO WA HABARI WANAWEZA WAKASABABISHA MTU UKALALA HATA MAKABURINI!!!
 
Ht mm ninayo yangu, Nokia105 ya kitochi nlinunua 2008....japo nina cm zngne mbili za smart lkn hii siiachi labda ipotee au iibiwe, naip3nda sana!
Mazoea hayo, siku ikipotea au kuharibika utaumia sana japo inathamani ndogo na ni zeefu.
 
Ni kweli anatafuta kiki kama sio masharti ya Dr .mmmm basi hata gari asingenunua angetembea kwa miguu au baiskeli.
 
Nimecheka sana, eti jamaa aliichukua simu akaipigiza chini akimwambia kwa nini anatumia simu ya elfu 30,akaokota vipande vilivyobaki na kuifunga na rubberband
 
Ushirikina umembana mfano wa yule msanii asiyevaa viatu anayeendeshwa na ushirikina
 
Mbunge wa Geita, Musukuma Kasheku amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band.

Sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya fasheni.

Ona simu yake kupitia video chini


Hiyo simu ndo imebeba power bank (hirizi)ya Musukuma
 
Apande punda na kuvaa kaniki...asilete ujinga wake hapa.
 
Hata gari yake. Ni yakilimbukeni aiache atumie mwendo wa kobe au gari ya kukokotwa na punda.
 
Sasa akitumia smartphone atawezaje kuitumia wakat lugha hajui.
 
Back
Top Bottom