Mbunge Musukuma akataa kuiacha simu yake ya miaka 10, asema hataki ulimbukeni

Mbunge wa Geita, Musukuma Kasheku amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band.

Sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya fasheni.

Ona simu yake kupitia video chini

"UNAWEZA kuamini na pia unaweza usiamini"
huyu ndio Musukuma!
 
Hivi kweli mmemuamini huyu mtu!hahha ni kichekesho tu anawapa lol
 
[emoji23] [emoji23] Kama anathamini vya zamani basi angetumia usafiri wa punda
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ufanyike mpango aibiwe tu ili anunue nyingine

Kuna yule mwizi wa simu wa bunge la katiba alikua anaitwa Chaburuma saivi ni gavana. Tumtume bungeni tena
 
Masikini ni masikini tu,
Hata ukimletea Maji ya bomba na choo ukamjengea lkn bado ataenda kujisaidia ziwani kisha ataogea maji hayohayo ya ziwani na baadae atavua samaki ataondoka nao kama kitoweo
SAsa badaa ya hapo unategemea mtu huyo atakuwa na akili gani? Hazitofanana na by products kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…