hassan kisabya
Senior Member
- Jun 14, 2014
- 165
- 109
Mbunge wa Geita, Musukuma Kasheku amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band.
Sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya fasheni.
Ona simu yake kupitia video chini
"UNAWEZA kuamini na pia unaweza usiamini"
huyu ndio Musukuma!