mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Pelekeni watoto shule. Shule hata kama huna hela inaleta busara kujua uongee nini na wapi. Education is better than money. I am sorry. Money is better than Education
Watanzani tuna ujinga mmoja, kuamini kuwa umasikini ni sifa nzuri ya kuwa kiongozi, na ujinga huu kuna viongozi wameujua kitambo wakaamua kucheza na akili zetu
Nitoe mifano ya marais wawili JK na JPM.
Tuanze na JK, huyu alijua hii kitu akajifanya masikini kwa miaka ishirini ili tumuone ni mwenzetu na akawin. Mara kadhaa nimekunywa nae supu Kinondoni Hugo house, mara kadhaa nilimkuta Saigon akicheza drafr, au pale magomeni karibu ba shibam akinywa kahawa.
Kuna siku akiwa waziri wa mambo ya nje tulipanga nae foleni CRDB Holand House Branch kwenye foleni ya kuelejea ATM, akatoa pesa àkaingia kwenye lile dude plate number W NJ.
Kipindi hicho hapa Dar ana nyumba moja tu karibu na ofisi ya Zantel, jirani na Dokta Peter Kasiga, Regent Estate,Chato Street, nyumba yenyewe ni ya kulazimishwa kununua na JPM na BWM. mwanzoni aligoma kabisa kununua hiyo nyumba ya serikali, akakumbushwa ule usemi wa Join us or Leave us.
Kama angekufa kipindi hicho nyumba pekee ambayo angejisifu kuwa alijenga ni ile ya Bagamoyo karibu na uwanja wa mpira, nyumba ya kawaida hata mimi mdukuzi ninayo. Pale msoga ulikuwa msitu tu wa ngedere.
Watoto wake wote walisoma hapa nchini, Tukamuona mwenzetu tukampa nchi.
Baada ya kustaafu, Msoga ni kijiji ndani ya kijiji, makazi rasmi kwa Dar yamehama toka mikocheni mpaka Masaki.
Tuje kwa JPM huyu alijifanya mnyonge na masikini, mara kala kwa mama lishe, nara kala mahindi ya kuchoma barabarani ili tumuone ni mwenzetu.
Huwezi kuwa waziri wa ujenzi miaka zaidi ya 15 ukawa mwenzetu. Kilometer moja ya lami ni zaidi ya bilioni 1.5, kasimamia kama ngapi nchi hii. Mshahara wa ubunge, mshahara wa uwaziri, perdiem, nk usimchukulie poa.
Kule kwao aliamua kuwekeza kwenye hotel kwa lengo moja tu, kuufungua mji wa chato upate wageni na uwe na hadhi, alipapebda sana nyumbani, lakini hakutaka watu wajue kuwa anamiliki hotel.
IKULU DSM.
Rais anazungumza na wadau wa sekta ya madini, mkutano uko live radioni na kwenye TV karibu zote wabunge wa majimbo yenye madini wanaalikwa akiwemo DK Musukuma.
Muda wa maswali ba kuchangia hoja unafika, DK Musukuma anapewa Mic, anaanza kuwachongea TRA na anatoa mfano, namnukuu, "Mheshimiwa Rais wewe mwenyewe una Hotel na unaelewa .......""
JPM akashusha mawani akamuangalia akajifanya kama abachora chora hivi, mara akajifanya kama anajikuna.
Baada ya ule mkutano Dk Musukuma anaambiwa asiondoke asubiiri, Jioni anapakizwa kwenye gari ya polisi mpaka lupango kwa siku tatu.
Uzuri Dkt. Musukuma ni mtu wa masihara wala hakuwa na beef na JPM alikuwa anafanya kama utani wa mtu na babu yake.