ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Msukuma ni kati ya wabunge waongo sana, pia msukuma ni kigeu geu sana , anaemwamini msukuma huyo ni WA kumpa pole.
Msukuma kwanza alikuwa hapatani na Magufuli baada ya Msukuma kumsupport Lowasa 2015, baadae katika kutafuta wadhamini wa Urais, Magufuli alifika Geita na hakupata ushirikiano kutoka Kwa mwenyekiti wa mkoa wa CCM kipindi hicho ni Msukuma, hata idadi ya wadhamini walio mdhamini Magufuli Geita walikuwa ni wachache ukilinganisha na Mikoa mingine maana msukuma alikuwa ameweka figisu Kwa Magufuli.
Baada ya Magufuli kushinda kura za maoni na kuwa mgombea wa CCM , Lowasa alihamia chadema na msukuma alimiahidi before jina likikatwa tu sisi sote tuta kufuata chadema, je mliona amemfuata Lowasa chadema? No alibadili gear na hatimae akawa ana mtukana Lowasa kwenye majukwaa kuwa ohh amejinyea blablabla, huyu ni mnafiki na Magufuli alimjua vizuri.
Sasa Rais akawa Magufuli, wasiomjua Msukuma moja kati ya wapiga deal wazuri, na group lake lilikuwa na wafanya biashara wanao onea wachimbaji wadiogo wadogo hapo Geita, so Magufuli alikuwa na information ila ana mwangalia tu, ana jaribu kujipendekeza ila Magufuli ana mkwepa, Magufuli alikuwa ana pita tu Geita akisalimia anaendelea na safari zake hadi chato.
Issue nyingine, Msukuma alikuwa na scandals ya kuuza vyuma chakafu, tena za deals wana piga wana safirisha hadi Dar bila vibali vya mazingira, na containers zake zilikamatwa zikawekwa kizuizuni, akaanza kumtafuta Magufuli amsaidie bila mafanikio, msukuma huyu alikuwa akisikia Magufuli Yuko chato anaenda chato ana kaa hotelini akitafuta njia ya kumuona Magufuli bila mafanikio, hadi hapo Ummy mwalimu alikuja kumsaidia msukuma, alipo kuwa waziri wa Mazingira na aka fikisha ujumbe wa msukuma wa kuliaia hivyo Kwa Magufuli na hatimae containers zake ziliachiliwa.
Hivyo huyu jamaa ni muongo na hakuwahi kuwa karibu na Magufuli, hizi story zake ni fake, yaani nawa hurumia watanzania maana CCM ni majanga.
Umeiweka vizuri sana, huyu jamaa ni mnafiki sana na JPM alikua anamjua ndo mana hakuwahi kuwa na time nae.