Mbunge Musukuma alivyoswekwa lupango baada ya kuongea hadharani kuwa Hayati Magufuli anamiliki hoteli

Story changamsha genge muda uende
 
JK alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje wakati ule. Nikapita pale Upanga kwenye ile Shule ya Sekondari ya Waislam( Al Mutanzir, nadhani inaitwa). Nikamuona dereva mmoja wa Serikali. Nikamuuliza anafanya nini pale. Akasema amekuja watoto wa JK. Nikamuuliza watoto hawasomi nje ya nchi? Akasema, no, wanasoma hapa. Kilichonifanya niamini( kwamba ati watoto wa JK wanasoma nchini) ni kwamba yule aliyekuwa ananieleza nilikuwa namfahamu muda mrefu. Yule mtu alikuwa ni " ndugu yangu" so to speak.
Kwa nini nilikuwa nashangaa? Kwa sababu nimekutana na watu wengi sana wa Foreign Service. Wanapenda sana kuongea jinsi watoto wao wanavyosoma nje
 
Hakuna mtoto wa JK wala JPM aliyesomea nje sekondari au undergraduate,haikuwa bahati mbaya ni kwa sababu za kisiasa tuwaone ni wenzetu na wakafanikiwa kutushawishi
 
Wewe ndo ulikuwa unaona masikini.
 
Kweli. Ila hata uwe na hekima na maarifa kiasi Gani, siasa ikitawala kichwani, unageuka debe tupu, maana kuna uhusiano kati ya mwanasiasa mzuri na unafiki.
 
Kweli. Ila hata uwe na hekima na maarifa kiasi Gani, siasa ikitawala kichwani, unageuka debe tupu, maana kuna uhusiano kati ya mwanasiasa mzuri na unafiki.
Hilo sasa ni swala jingine. Hapa tulikuwa tunajadili hekima PLANE ya mtu pasipo kuwa na influences zingine kama hizo za siasa. Maana sasa tukianza kuongelea na external influencess, unaweza ukastukia wengine wanaingiza hata na maswala ya pombe kwamba "mtu akilewa pombe....."
 
Usichokijua ni heribya wakna musukuma kuliko nyinyi Mtaala gani tanzania utamzalisha Kiongozi bora?? Wenye elimu wote wanaact ujinga, wengine wanashauri bangi uruhusiwe, wengine wanashauri viwanda vya pombe viboreshwe, wengine wanashauri fukwe ziwekewe mazingira mazuri ya uzinzi, wengine wanashauri ushoga, what kind of education do you have? Nyote niyinyi mmesoma ila hamba maarifa thats y viongozi bora kutoka Tanzania walikuwepo zamaaani sana na wote wlifariki zama za akina Chief Mkwawa na Songea Mbano
 
Hii chai au al-kasusu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…