Dawa ya kuwapunguza hawa kenge kwenye chombo mhimu cha kuwakilisha wananchi ni ku-set academic qualifications kwa mtu kugombea nafasi nyeti kama ya ubunge. Dunia imebadilika sana tunahitaji smart and focused mind kuwawakilisha wananchi. Ifike mahali hawa darasa la tatu A walisaidie taifa kalika nafasi nyingine. SIYO UBUNGE. Kwa mtizamo wangu hata mwenyekiti wa mtaa anapaswa angalau awe amehitimu kidato cha nne.... yeye na kibajaji wana inferiority complex iliyo juu ya wastani. Sijui kwanini.
Vunjo siyo HaiKama Jana nimeona Dr kimei aliyechukua jimbo LA hai ,daaaaa niliona aibu
Muhongo mwenyewe alizungumza kwa maslahi finyu na yasiyokuwa na ukweli zaidi yakiashiria ,lengo na maslahi ya alikokuwa zamaniNa nashangaa kuona wamemnyamazia.
Kusoma na kuandikaDawa ya kuwapunguza hawa kenge kwenye chombo mhimu cha kuwakilisha wananchi ni ku-set academic qualifications kwa mtu kugombea nafasi nyeti kama ya ubunge. Dunia imebadilika sana tunahitaji smart and focused mind kuwawakilisha wananchi. Ifike mahali hawa darasa la tatu A walisaidie taifa kalika nafasi nyingine. SIYO UBUNGE. Kwa mtizamo wangu hata mwenyekiti wa mtaa anapaswa angalau awe amehitimu kidato cha nne.
Ova.
Hapana. Hoja za Musukuma, Kibajaji na Kishimba ni za burudani, siyo hoja za wanaojua mambo ya kisasa. Hoja za maendeleo ni kama zile za mchuano wa Muhongo na Kalemani kuhusu umuhimu wa vyanzo vya umeme, au Mdee na Kingu kuhusu hasara za kununua ndege, kila hoja imeshiba, inaulewa ulimwenguHoja za wasomi ndio zinazoplekea wenye elimu kudhalauliwa bungeni.
Umesema vizuri kuwa asiyesoma anaweza kufanikiwa kiasi, lakini hawezi kutoboa kwenye ulimwengu wa kisasa bila msaada au kumwajiri aliyesomaMimi kwa kua nimeishi maisha yangu ya mtaa kwa muda mrefu hasa baada ya elimu zangu zote na kwa kutambua hayo kila mmoja nampa nafasi yake naamini hawa wasomi wananafasi yao waheshimiwe lakini pia waelimike, kusoma sio kubeba GPA kubwa wakati kichwani wewe mwenyewe kujiendesha hauwezi, lakini pia tuwaheshimu hawa darasa la saba au ngumbalu maana maisha haya wasomi wetu wengi huomba kazi kwa hawa hawa kwani ndio wamehustle na washatoboa kitambo nadhani tukiishi kwa kiheshimiana na kupeana nafasi kila mmoja tutasonga mbele
Lete ushahidi halisi, siyo wa kudhania. Aliongea kuwa tusitegemee bwawa la maji kama mwarobaini. Tuwekeze kwenye vyanzo vingine vya umeme pia, km gesi. Hayo yako kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM. Kaisome. Maslahi binfsi vipi.Muhongo mwenyewe alizungumza kwa maslahi finyu na yasiyokuwa na ukweli zaidi yakiashiria ,lengo na maslahi ya alikokuwa zamani
Kweli. Ukiona elimu ni shida, jaribu ujinga!Wenye elimu ndogo wapewe nafasi kuendesha nchi. Labda wako practical zaidi. Hawa wasomi wa kukariri wametuongoza toka uhuru lakini hakuna tulipofika. Haya maendeleo ni natural course tu ya mambo.
Kweli. Ukiona elimu ni shida, jaribu ujingaWenye elimu ndogo wapewe nafasi kuendesha nchi. Labda wako practical zaidi. Hawa wasomi wa kukariri wametuongoza toka uhuru lakini hakuna tulipofika. Haya maendeleo ni natural course tu ya mambo.
Msomi kumjibu mtu kama msukuma itaamsha hasira za wajinga wengi sana. Yaani ni sawa na zile kelele za wanaopigania haki za wanawake. Haki za mtu kariba ya msukuma ina watetezi wengi sana.Mimi ninachoamini mtu aliyesoma anajua vitu vingi vingi sana ambavyo hao wakina msukuma hawajui degree ni Elimu kubwa sana. Sijui wabunge wasomi Wanamuogopa kumjibu ndio maana anavimba kichwa na kuwa nanga, hakusoma tu akubali au arudi shule umri na umbo vinamruhusu.