RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Si kwa faida ya wananchi wake sasa ulitaka nani awanunulie
Pesa za mfuko wa jimbo ameshazila sana wacha arudishe fadhira

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka yote mitano amewaacha wanataabika weeeee, karibia na uchaguzi ndio kaamua kuwakumbuka ili wampe mitano mingine tena.Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii.
Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa Geita Vijijini, ambayo ina jumla ya kata 15, ambapo kila kata itanufaika na gari moja la kubebea wagonjwa. Aidha, ameeleza kuwa atagharamia mishahara ya madereva pamoja na matengenezo yote ya magari hayo. Wananchi watakaohitaji huduma watapaswa kuwasiliana na Katibu wa Chama kwa ajili ya uratibu wa usafiri.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Mbunge huyo pia amefichua kuwa gharama za mradi huo, ikiwemo ujenzi wa kituo cha Polisi cha kisasa kitakachokabidhiwa kwa Jeshi la Polisi, zimefikia zaidi ya shilingi bilioni moja.
- Pre GE2025 - Musukuma: Milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo Geita Vijijini
Msikilize kwanza ndo umdharau au umpe heshima yakeAcheni uongo!! magari hutolewa na serikali au wadau kwa Halmashauri (wakurugenzi) kisha wabunge huyadaka kwa ajili ya maonyesho kwa wananchi wakiwadanganya kuwa wao (wabunge) ndo wameyaleta hayo magari. Mali zote katika Halmashauri ziko chini ya DED. Ila watanzania wengi ni wajinga.
Yaani unasubiri mpaka mwaka wa uchaguzi halafu unatumia mkopo wa wabunge!! maajabuMbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii.
Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa Geita Vijijini, ambayo ina jumla ya kata 15, ambapo kila kata itanufaika na gari moja la kubebea wagonjwa. Aidha, ameeleza kuwa atagharamia mishahara ya madereva pamoja na matengenezo yote ya magari hayo. Wananchi watakaohitaji huduma watapaswa kuwasiliana na Katibu wa Chama kwa ajili ya uratibu wa usafiri.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Mbunge huyo pia amefichua kuwa gharama za mradi huo, ikiwemo ujenzi wa kituo cha Polisi cha kisasa kitakachokabidhiwa kwa Jeshi la Polisi, zimefikia zaidi ya shilingi bilioni moja.
- Pre GE2025 - Musukuma: Milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo Geita Vijijini
Hii siyo kazi ya mbunge. Tena inaonyesha serikali ilivyoshindwa kuleta maendeleo. Yaani wakombe mabilioni ya fedha halafu watudanganye na kiduchu? Tunataka kuwe na mfumo endelevu wa kuhudumía wananchi na siyo hisani za mbunge.Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii.
Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa Geita Vijijini, ambayo ina jumla ya kata 15, ambapo kila kata itanufaika na gari moja la kubebea wagonjwa. Aidha, ameeleza kuwa atagharamia mishahara ya madereva pamoja na matengenezo yote ya magari hayo. Wananchi watakaohitaji huduma watapaswa kuwasiliana na Katibu wa Chama kwa ajili ya uratibu wa usafiri.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Mbunge huyo pia amefichua kuwa gharama za mradi huo, ikiwemo ujenzi wa kituo cha Polisi cha kisasa kitakachokabidhiwa kwa Jeshi la Polisi, zimefikia zaidi ya shilingi bilioni moja.
- Pre GE2025 - Musukuma: Milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo Geita Vijijini
Usidanganywe!! Hakuna mwanasiasa mwenye huruma na wananchi hadi atumie hela yake kwa ajili ya maendeleo au huduma kwa wananchi.Msikilize kwanza ndo umdharau au umpe heshima yake
Leteni uthibitishoAcheni uongo!! magari hutolewa na serikali au wadau kwa Halmashauri (wakurugenzi) kisha wabunge huyadaka kwa ajili ya maonyesho kwa wananchi wakiwadanganya kuwa wao (wabunge) ndo wameyaleta hayo magari. Mali zote katika Halmashauri ziko chini ya DED. Ila watanzania wengi ni wajinga.
Kutoka mfukoni mwake au?Mbunge huyo pia amefichua kuwa gharama za mradi huo, ikiwemo ujenzi wa kituo cha Polisi cha kisasa kitakachokabidhiwa kwa Jeshi la Polisi, zimefikia zaidi ya shilingi bilioni moja.
Serikali inafanya kazi gani? Mshaurini alipe kodi vizuri tu mengine serikali itafanyaMbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii.
Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa Geita Vijijini, ambayo ina jumla ya kata 15, ambapo kila kata itanufaika na gari moja la kubebea wagonjwa. Aidha, ameeleza kuwa atagharamia mishahara ya madereva pamoja na matengenezo yote ya magari hayo. Wananchi watakaohitaji huduma watapaswa kuwasiliana na Katibu wa Chama kwa ajili ya uratibu wa usafiri.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Mbunge huyo pia amefichua kuwa gharama za mradi huo, ikiwemo ujenzi wa kituo cha Polisi cha kisasa kitakachokabidhiwa kwa Jeshi la Polisi, zimefikia zaidi ya shilingi bilioni moja.
- Pre GE2025 - Musukuma: Milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo Geita Vijijini
Uthibitisho upi? Hujui katika Halmashauri boss ni DED?Leteni uthibitisho
Serikali hii hii au siyo?Serikali inafanya kazi gani? Mshaurini alipe kodi vizuri tu mengine serikali itafanya