Mbunge Musukuma na simu yake

Hapo ndo utajua tofauti ya bhange na bangi.
 
Wasukuma wasio na Yesu ni washirikina sana.Mauaji ya vikongwe na albino kwa sababu ya imani za kishirikina yalianzia huko.Huenda huyo hilo ni moja ya masharti ya mganga wa kienyeji!
 
eti huyu nae mbunge..afu watz tunataka maendeleo.. kazi kweli kweli!!
Haaaa haaa sasa kama wote mnafanana si lazima mchague mmoja wenu humo humo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hata mm kuna saa yangu siwezi kuacha kuivaa mwaka wa 5 huu
 
Kwan mahitaji ya muhim ya sim ni yap, kama ni kupiga kupokea kusoma na kutuma sms haina shida , mengine mbwembwe tu
Lakini pia mkuu mahitaji huaga yanaongezek kutokana na kipato kupanda.....mbunge kwa hadhi yake na Tecno hiyooo?
 
Kweli kabisa Mkuu hili ni neno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…