Cha ajabu ni kufunga rubber band kwenye simu, huyu mtu haoni umuhimu wa maintenance wala quality ya chochote...
...lami zikikongoroka atasema jazeni kifusi
...IV Fluids zikiisha mahospitalini atasema wapeni maji ya chumvi
.... wananchi wanakutumia picha na documents za vitu vinavyohitaji attention wewe una kitochi hakiwezi kuzifungua
... wananchi wake wenye TECNO za laki moja wako more informed na ulimwengu kwa vile huyu amepitwa na mapinduzi ya habari, hajui kinachoendelea nchini wala duniani kwa sababu anapata taarifa zake kwa kusubiri gazeti la kesho au taarifa ya TBC
Ndio upeo wake. Hatuwezi kupata maendeleo na watu kama hawa wenye simu za raba bendi!