ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Ifike hatua sifa ya kuwa mbunge iwe ni elimu na uelewa wa mambo Kwa kina
Msiangalie utajiri na kudhamini wake katika Chama ndo awe mbunge
Mbunge Msukuma ni layman tu, yaani aliongea hana tofauti na mnywa kahawa pale Buguruni
Leo nimemsikia akipuuza na kusema kuwa wahudumu wa SGR wafutwe kazi.
Nimeshangaa Kwa mbunge kutoa kauli ya kipumbavu namna hiyo
Nilimsikia akijisifu ati hajasoma na anaonea fahari Kwa hilo na anaonea kama wasomi mle bungeni ni malofa tu
Huyu Mbunge Msukuma anaweza kweli kutunga miswada na sheria za kusaidia Taifa?
Anaweza kutunga sera za kiuchumi na kidplomasia kweli?
Msukuma anatamba kwenye jamii yetu watu wanaufurahia ujinga ila aliingia kwenye siasa ngumu kama za Kenya, Zambia, South Africa atajiuzulu mwenyewe maana kule hakuna malofa