Mbunge Musukuma nae ni kati ya watunga sera na sheria za nchi yetu?

Ifike hatua sifa ya kuwa mbunge iwe ni elimu na uelewa wa mambo Kwa kina

Msiangalie utajiri na kudhamini wake katika Chama ndo awe mbunge

Mbunge Msukuma ni layman tu, yaani aliongea hana tofauti na mnywa kahawa pale Buguruni

Leo nimemsikia akipuuza na kusema kuwa wahudumu wa SGR wafutwe kazi.
Nimeshangaa Kwa mbunge kutoa kauli ya kipumbavu namna hiyo

Nilimsikia akijisifu ati hajasoma na anaonea fahari Kwa hilo na anaonea kama wasomi mle bungeni ni malofa tu

Huyu Mbunge Msukuma anaweza kweli kutunga miswada na sheria za kusaidia Taifa?
Anaweza kutunga sera za kiuchumi na kidplomasia kweli?

Msukuma anatamba kwenye jamii yetu watu wanaufurahia ujinga ila aliingia kwenye siasa ngumu kama za Kenya, Zambia, South Africa atajiuzulu mwenyewe maana kule hakuna malofa
Kipindi cha nyuma nilisikia naye kingwendu alitaka kigombea ubunge na alipewa baraka zote na wakuu
 
Ifike hatua sifa ya kuwa mbunge iwe ni elimu na uelewa wa mambo Kwa kina

Msiangalie utajiri na kudhamini wake katika Chama ndo awe mbunge

Mbunge Msukuma ni layman tu, yaani aliongea hana tofauti na mnywa kahawa pale Buguruni

Leo nimemsikia akipuuza na kusema kuwa wahudumu wa SGR wafutwe kazi.
Nimeshangaa Kwa mbunge kutoa kauli ya kipumbavu namna hiyo

Nilimsikia akijisifu ati hajasoma na anaonea fahari Kwa hilo na anaonea kama wasomi mle bungeni ni malofa tu

Huyu Mbunge Msukuma anaweza kweli kutunga miswada na sheria za kusaidia Taifa?
Anaweza kutunga sera za kiuchumi na kidplomasia kweli?

Msukuma anatamba kwenye jamii yetu watu wanaufurahia ujinga ila aliingia kwenye siasa ngumu kama za Kenya, Zambia, South Africa atajiuzulu mwenyewe maana kule hakuna malofa
Msukuma ni tapeli, jizi, mnafiki, opportunistic lipo bungeni linaiba
 
Wasomi wengi wa Tanzania ni wapuuzi na malofa pia hawana akili wala faida kwa nchi.
I support Msukuma(or is it Musukuma?) on this one.
Wasomi ni machawa, hata humu janvini wale wanaojiita wasomi uchawa wao huwa uko dhahiri kwa comments zao.
 
Tanzania Hakuna Tofauti Kati Ya Wasomi Na Ngumbalu Tukija Kwenye Mambo Mengi Sana.
Tukianzia Kwenye Utaalamu,Maamuzi Ya Kisiasa Na Maisha Ya Kawaida.

Hivi Mradi Wa Mwendokasi Unaendeshwa Na Malayman?
Temesa Pale Kuna Malayman?Wamekwenda Kukificha Kivuko Mombasa Sasa Hivi Wanakalibia Kumkabidhi Bakharesa Mradi.
Waziri Mzima Anasema Anamuomba Bakharesa Aende Apeleke Kwenye Vivuko Vingine Kama Mwanza Huko Zile Sea Tax Zake Inamaana Serikali Imeshindwa?Mimi Nawachukulia Wasomi Wa Tanzania Kama Watu Waliosomea Ujinga Na Wanastahiri Kubeba Lawama Za Umasikini Wa Nchi Hii.
We Angalia Hata Kwenye Sskta Ya Michezo Wazee Wa Darasa La Nne La Mkoloni Waliweza Kujenga Majengo Kwa Timu Za Simba Na Yanga Ila Hawa Wa MaPhd Wa Sasa Wamebaki Kudandia Viwanja Vya Watu Na Kujisifu.

Hata Mleta Mada Ni Mmoja Wa Mambulula Wa Utumwa Wa Simba Na Yanga Wakizindua Vitambaa Vyao Wenyewe Wanaita Jezi Wanapanga Mstari Kwenda Kutajirisha Watu Binafsi Wakiziacha Timu Zao Bado Omba Omba.Bora Ya Msukuma Kuliko Wasomi Mia Moja Wa Tanzania Kwanza Ametengeneza Ajira Kwa Watanzania Wenzake Ana Kila Sababu Ya Kutamba Ila Wewe Na Vyeti Vyako Kila Siku Unachungulia Ajira Portal ,Kusujudia Wanasiasa Kwa Nyimbo Na Mapambio.

Hovyo Kabisa.
 
Ni ujinga saana kwa waafrica na elimu yao ya kukalili na kupewa vyeti kujiona ni bora, thus y tuna mainjinia hawawezi hata kutengeneza kikombe. Hizo degree zenu ni karatasi tu vichwani hamna kitu
Kuelimika na kusoma ni vitu viwili tofauti nowdays wasomi wengi but kichwani hamna kitu 😢😢 wezi tu
 
Back
Top Bottom