Mbunge Ng'wasi Damas Kamani: Wakandarasi wa ndani wapewe kipaumbele kwa kupewa kazi zaidi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010

Nimemsikiliza huyu mbunge kijana Ng'wasi Damas Kamani na nikatambua ni kichwa. Ameelezea vizuri na kwa ufasaha maswahibu ya wakandarasi wazalendo kwa usafaha tena kwa kina. Bunge inatakiwa kuwa na vichwa kama huyu mbunge.

Ni wabunge wachache mno, na miaka ya karibuni sijamwona hata mmoja, wakuelezea scenario ya mkandarasi na jinsi wazalendo wanavyonyanyasika. Asante mbunge Ng'wasi, Mama Samia wachukue vichwa vya kizalendo kama hivi.
 
View attachment 1790720

Nimemsikiliza huyu mbunge kijana Ng'wasi Tamaa Kamani na nikatambua ni kichwa.

Ameelezea vizuri na kwa ufasaha maswahibu ya wakandarasi wazalendo kwa usafaha tena kwa kina.
Bunge inatakiwa kuwa na vichwa kama huyu mbunge.

No wabunge wachache mno, na miaka ya karibuni sijamwona hata mmoja, wakuelezea scenario ya mkandarasi na jinsi wazalendo wanavyonyanyasika.

Asante mbunge N'wasi, Mama Samia wachukie vichwa vya mzalendo kama hivi.
Kwa kujipigia promo hamjambo.
 
Mzee wa BL upo?
View attachment 1790720

Nimemsikiliza huyu mbunge kijana Ng'wasi Damas Kamani na nikatambua ni kichwa.

Ameelezea vizuri na kwa ufasaha maswahibu ya wakandarasi wazalendo kwa usafaha tena kwa kina.
Bunge inatakiwa kuwa na vichwa kama huyu mbunge.

Ni wabunge wachache mno, na miaka ya karibuni sijamwona hata mmoja, wakuelezea scenario ya mkandarasi na jinsi wazalendo wanavyonyanyasika.

Asante mbunge Ng'wasi, Mama Samia wachukue vichwa vya kizalendo kama hivi.
 
Asante Mh. Ng'wasi kwa kujipigia debe
 
Nimemsikiliza huyu mbunge kijana Ng'wasi Damas Kamani na nikatambua ni kichwa. Ameelezea vizuri na kwa ufasaha maswahibu ya wakandarasi wazalendo kwa usafaha tena kwa kina. Bunge inatakiwa kuwa na vichwa kama huyu mbunge.

Ni wabunge wachache mno, na miaka ya karibuni sijamwona hata mmoja, wakuelezea scenario ya mkandarasi na jinsi wazalendo wanavyonyanyasika. Asante mbunge Ng'wasi, Mama Samia wachukue vichwa vya kizalendo kama hivi.
Dada yuko vizuri kwakweli
 
Wabongo bana mtu akijua kupiga porojo
Kichwa

Ova
 
Sasa ungejisajiri kwa ID yenye jina lako kamili.
Nyie watanzania wenywe vichwa vya panzi mna matatizo makubwa.
Yule Mbunge kaongea point nyingi ambazo nafikiri hamzielewe.
Yule ni kijana msomi, na anaweza kudadavua mambo.
Kwa nini asipewe Hi!

Someni mjue matatizo ya nchi, siyo kubaki mitandaoni kubwabwaja maana ninyi wengine kinara wenu ni vbajaji na msukuma!
Sasa kajitokeza mtu mwenye akili safi na inayoeleweka na wasomi.
 
Mkuu usijisumbue na watu wenye simplistic minds, wasioweza hata kutazama trends za economy.
Watu wa akina msukuma hao!
 
Nimemsikiliza huyu mbunge kijana Ng'wasi Damas Kamani na nikatambua ni kichwa. Ameelezea vizuri na kwa ufasaha maswahibu ya wakandarasi wazalendo kwa usafaha tena kwa kina. Bunge inatakiwa kuwa na vichwa kama huyu mbunge.

Ni wabunge wachache mno, na miaka ya karibuni sijamwona hata mmoja, wakuelezea scenario ya mkandarasi na jinsi wazalendo wanavyonyanyasika. Asante mbunge Ng'wasi, Mama Samia wachukue vichwa vya kizalendo kama hivi.
Brilliant girl

Huyu ni wa kum groom bado mapema anaweza kuwa asset kwenye cabinet siku za usoni kama hatachafuliwa na majitu type ya ndugu yai
 
Back
Top Bottom