Pre GE2025 Mbunge Nusrat Hanje (CHADEMA) akimpamba Rais Samia kwa kumuimbia mitano tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu ni Mzanzibar lazma amseme vizuri Mzanzibar mwenzake.
 
Ukisikia Mke wa baba anamsifu Mchepuko wa mumewe ndio huku
 
Mbunge wa mchongo
 
Ni sawa tu, hiari yake, huyo sio mbunge wa CHADEMA, alishafukuzwa, na mahakama ikathibitisha!!

CHADEMA Ina Mbunge mmoja tu Aida Kenani!!
 
Moja kati ya watu wachache wenye akili nyingi kushinda lissu huko chadema
 
Reactions: Tui

Yaaji vafo unaamini kuwa Covid 19 ji Chadema. We utakuwa unaumwa si bure!!
 
Sio cdm huyo. Lazima aisifie ccm ili abaki salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…