Pre GE2025 Mbunge Nusrat Hanje (CHADEMA) akimpamba Rais Samia kwa kumuimbia mitano tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ndiye anayempa kunya. anaipigania 2025 yake maana huku CHADEMA wamekaza hakuna nafasi yao. Lazima afanye uchawa kwa mama
 
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.

Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.

Machawa wote kwa asilimia 💯, wanapambana na ya dunia kuliko kesho yao katika ufalme wa Mungu .

Ndo maana husujudia binadam wenye nyama kuliko Mungu wao katika imani zao.

Kwao pesa ,maisha ya anasa , ndo tamanio lililo kuu ,ndo maana wapo tiyari uza / dhalilisha utu wao.

Kwa matamanio ya vitu vya Dunia wapo tiyari kumsujudu kwa alienacho kuliko hata wazazi wao waliowaleta duniani.

Machawa ni laana kutoka kwa Mungu ,na siku zote chawa hawezi kuwa na akili timamu
 
Huyu sio mbunge wa chadema

Mlishamfukuza
 
Kwa matamanio ya kuwa na utajiri wa kutisha
 
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.

Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.

Huyu ni mbunge wa wapi?
 
Wewe unaona leo wakati yeye amejionyesha hivyo tangu Mh. Rais Samia alipoapishwa na hajawahi jificha. Siku CDM mlipomkaribisha Mh. Rais kwenye siku muhimu ya baraza la wanawake awe mgeni rasmi hapo ndio mlipigia msumari bango la upendo kwa Rais moyoni mwake.

Anampenda mno mvaa ushungi mwenzake. Hawezi kusaliti moyo wake. Siku zote hiyo kauli ya mitano tena iko moyoni mwake. Na si unajua kwa sasa ni mke halali wa mwanaCCM Maulid Kitenge?
 
Siasa maana yake ni kula wazee, msimlaumu sana huyu bibie.

Nje ya mada: Mau "Kikanga" mzee wa minyama ndo anajikojoza/ anakojoza hapo. 😁
 
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.

Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.

Praise and worship ilimradi arudi bungeni? Nini kimeipata leadership ya nchi hii?
 
Ajira yao ni siasa l, lazima wapambane wawezavyo kulinda maslahi...
 
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.

Wabunge wa namna hii, wana mchango mdogo katika Taifa. Wanawaza maslahi yao badala ya maslahi Jumuishi.

Huyu si alitolewa rumande akapelekwa gereji akaapishwa kuwa mbunge? Kwa nini asimshukuru aliyemjalia yote hayo? Huyu akimaliza mkataba wake anahamia rasmi CCM. Nadhani siku Bunge linavunjwa atafanya aliyofanya Lijualikali. Yuko na wenzake lakini nataka kuamini Halima Mdee na Esther Bulaya hawako nae.

Amandla...
 
Harudi bungeni. Hapo anapalilia nafasi ya uteuzi. Akipata uDC au uDAS ataridhika.

Amandla...
Waislamu wana matatizo ya peke yao..wana ajenda yao ccm, hao wengine wasindikizaji tu ndio udhaifu mkubwa walio nao wakristo wengi, ni wakristo kwa jina tu..ni rahisi sana kupumbazwa na kuwa km majuha ana akili lkn hajielewi..
Fikiria taifa la Israel pamoja na kubarikiwa akili na maarifa mengi walifanywa watumwa Misri miaka 400 ..na kwa kweli mambo kufanya watu ndondocha ndio yalianzia hapo, mtu anakuwa hajielewi na hawezi kujitambua..kwa waisraeli hadi Mungu mwenyewe aliingilia kati ndio wakatoka kwenye hilo kongwa, wao wenyewe wasingeweza, akili ilikuwa imefungwa..ndio hayo wanafanyiwa wakristo walioko ccm..unawahurumia tu, kile chama ni cha waislamu 100% wenye macho 3 wanaona kila kitu..na hii haihitaji usomi ili kujua hili, huu mwenge ndio unatumika km pumbazo, juzi angalia walichofanya ccm..kutoa kafara za njiwa weupe, eti wanadanganya watu ni ishara ya amani, amani ipi kwa ccm...?
TAFAKARI!
 
Siasa za siku hizi hazina itikadi, itikadi ni tumbo lako. Hivyo mtu kubadili chama ili kulea tumbo lake Sio kazi ngumu kabisa!

Wote waliopo upinzani wanaweza kwenda CCM wakipewa fursa!
 
Back
Top Bottom