MBUNGE NZILANYINGI ATAKA WANANCHI WANAOISHI MILIMANI MWANZA WAONDOLEWE

Oneonone

Member
Joined
May 5, 2026
Posts
17
Reaction score
17
MBUNGE NZILANYINGI ATAKA WANANCHI WANAOISHI MILIMANI WAONDOLEWE

Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, John Nzilanyingi ameingia katika mgogoro na kashfa nzito na wananchi wake baada ya kuanza kueleza kuwa wananchi wanaoishi mlimani wanapaswa kuondolewa.

Nzilanyingi amefikia hatua ya kutamka kuwa nyumba za wananchi wanaoishi Igogo, Mabatini, Isamilo na maeneo mengine yenye milima kuwa maeneo hayo ni uchafu.

Mbunge huyo amesema nyumba za wakazi hao zinapaswa kuondolewa kwa kuwa zinaleta na kusababisha Jiji la Mwanza kuonekana chafu lisilovutia watalii hivyo ni uchafu.

Mbunge huyo alinukuliwa akizungumza hayo, wakati akiongea na watumishi wa halmashauri ya Jiji la Mwanza, akieleza namna wanavyopaswa kwenda na kasi yake ikiwemo kuwaondoa wananchi hao.

Nzilanyingi alisema ili wananchi hao waondolewe na kuondoa uchafu mlimani, atakuja na mpango wa kutafuta wawekezaji wa kujenga nyumba za kisasa (Apartments) ili kuvutia watalii.

Anasema kujengwa kwa nyumbani hizo kutavutia watalii wengi mkoa wa Mwanza, huku akitumia lugha hiyo chafu ambayo sio ya kiungwana kwa wananchi waliomchagua.

Kabla ya Mbunge huyo kutumia lugha ambayo sio nzuri kwa wananchi wake, mpango wa kuhamisha wananchi hao ulianzishwa na halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2022.

Juni 14 mwaka 2022, Halmashauri ya Jiji la Mwanza kupitia kwa Meya wa Jiji hilo, Constantine Sima, alieleza namna walivyojipanga kuhamisha wananchi hao.

Katika taarifa yake kipindi hicho, ilieleza kuwa, kuondolewa kwa wananchi hao kutaenda sambamba na Jiji kuwalipa fidia kwanza.

Katika mradi wa kujenga nyumba za kisasa ulikuwa ugharimu zaidi ya shilingi bilioni 150 ukienda sanjari na ujenzi wa kiwanda cha pembejeo za kilimo.

Mradi huo ulishindwa kuendelea na taratibu nyingine kutokana na Jiji la Mwanza kushindwa kutekeleza ulipaji wa fidia na mambo mengine ya kisiasa.

Mradi huo ulikuwa unalenga kugusa maeneo mbalimbali ya Jiji la Mwanza kuonekana ikiwemo Igogo,Isamilo na Kigoto ambayo ipo halmashauri ya Ilemela.

Hivyo kitendo cha Mbunge huyo kuita nyumbani za maelefu ya wananchi wa mlimani kwamba ni uchafu ni jambo la kufedhehesha na kushusha hadhi ya makazi ya wananchi.

Mmoja wa watumishi aliyekuwa katika kikao hicho, alimueleza mwandishi wa habari hii kuwa Mbunge huyo amekuwa akitumia lugha za kufedhehesha watumishi wa Jiji la Mwanza.

Mara nyingi amekuwa akitaka kila eneo analofanya mkutano wa hadhara wakuu wa Idara wote kuwepo jambo ambalo wamedai kutoelewa majukumu yake.

Mtumishi huyo ambaye aligoma kutajwa jina lake anaeleza kuwa, watumishi hawalipoti kwa mbunge bali kwa mkurugenzi wa halmashauri ndiye anayepaswa kuwapa maelekezo nini cha kufanya.
 
Kasema kweli hizo nyumba ni chafu,kama watalipwa ili waame hakuna shida
 
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Mbunge wa mama
 
Back
Top Bottom