Pre GE2025 Mbunge Ole Sendeka katika bifu kali na RC Sendega agoma kumpigia magoti, magoti yake atayapiga kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siku ya jana Katika kipindi cha bunge jioni Mbunge Mkongwe na aliyewai kuwa Rc, na aliyekuwa mpambe au chawa wa Hayati Edoward Lowassa wakati wa siasa za urais mwaka 2010 Christophe Ole Sendeka amelalamika bungeni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendega amekuwa akiwaweka Lokapu viongozi mbalimbali katika mkoa huu, huku akiongeza kuwa Mkuu wa Mkoa huyu ana mgombea wake wa ubunge amble yeye ana mashaka nae wala hamugopi katika UCHAGUZI wa 2025

Vita ya uchaguzi nani ya CCM imeanza, lakini la pili je kunasababu ya wakuu wa mika na wakuu wa wilaya kuendelea kuwa viongozi Hawa katika ngazi ya uongozi katika nchi

Nimekuwekea clip Yale bendeka hapa chini msikilize anavyolalamikia utawara bora?! utawara bora upi anaohitaji au kwa sababu amebanwa yeye?!

Awaa hie vijana. Ni Ole Sendeka tangu wakati wa Mwalimu. We need new generation
 
Sendeka vs Sendiga

Kivumbi Na Jasho, Ma~CCM Hayana Aibu Kabisa Yanagombea Urefu Wa Kamba
 
Siku ya jana Katika kipindi cha bunge jioni Mbunge Mkongwe na aliyewai kuwa Rc, na aliyekuwa mpambe au chawa wa Hayati Edoward Lowassa wakati wa siasa za urais mwaka 2010 Christophe Ole Sendeka amelalamika bungeni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendega amekuwa akiwaweka Lokapu viongozi mbalimbali katika mkoa huu, huku akiongeza kuwa Mkuu wa Mkoa huyu ana mgombea wake wa ubunge amble yeye ana mashaka nae wala hamugopi katika UCHAGUZI wa 2025

Vita ya uchaguzi nani ya CCM imeanza, lakini la pili je kunasababu ya wakuu wa mika na wakuu wa wilaya kuendelea kuwa viongozi Hawa katika ngazi ya uongozi katika nchi

Nimekuwekea clip Yale bendeka hapa chini msikilize anavyolalamikia utawara bora?! utawara bora upi anaohitaji au kwa sababu amebanwa yeye?!

Kuna jambo hatulijui. Yeye ndiye alitaja aabudiwe kwamba amewazuia Wamaasai wa Kenya kuingia Tanzania na kumtukana Rais. It's the other way round.
 
Siku ya jana Katika kipindi cha bunge jioni Mbunge Mkongwe na aliyewai kuwa Rc, na aliyekuwa mpambe au chawa wa Hayati Edoward Lowassa wakati wa siasa za urais mwaka 2010 Christophe Ole Sendeka amelalamika bungeni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendega amekuwa akiwaweka Lokapu viongozi mbalimbali katika mkoa huu, huku akiongeza kuwa Mkuu wa Mkoa huyu ana mgombea wake wa ubunge amble yeye ana mashaka nae wala hamugopi katika UCHAGUZI wa 2025

Vita ya uchaguzi nani ya CCM imeanza, lakini la pili je kunasababu ya wakuu wa mika na wakuu wa wilaya kuendelea kuwa viongozi Hawa katika ngazi ya uongozi katika nchi

Nimekuwekea clip Yale bendeka hapa chini msikilize anavyolalamikia utawara bora?! utawara bora upi anaohitaji au kwa sababu amebanwa yeye?!

Tatizo Jinsia ile waliyoikataa wamarekani,kwenye uchaguzi wao mkuu.
 
u

utawara
 
Huyu Sendeka naye ni matatizo sana, anapenda siasa za fitna, uchonganishi, na kulialia
Mara avae uniform za shule na kwenda kupiga magoti kwa maheadmistress mbele ya makamera akiwa amesuka twende kilioni. Utapeli mtupu, hamna kitu pale.
 
Ole Sendeka ana fitina sana huyu mzee. Aliwahi kumnasa vibao Ole Millya (sikumbuki alikuwa na cheo gani huyu Millya).

Huyu Sendeka kila uchaguzi ukikaribia huwa anaanzisha mabifu.
Ole Milya aliwahi kuwa kiongozi wa vijana nadhani ngazi ya wilaya.
Walisumbuana sana.
Huyu mzee apumzike tumeshamchoka
 
Back
Top Bottom