Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

Mama wa hovyo kweli, yaani sababu za kijinga, imani za kishirikina kama huo ndio ukweli wenyewe kuna sababu za kuumizana kweli.

Mtu akiroga na we si unaroga kama unaamini uchawi upo. Nchi nzima watu wanalogana kila siku, wabunge karibu wote walogaji hadi kufika hapo. Kipi kipya hadi atende ukatili.
Imani za kishirikina zinahusiana moja kwa moja na ujinga ambao huambatana na umasikini wa fikra.
Kitu cha kushangaza ni naibu waziri, tena wa katiba na sheria kujihusisha na mambo hayo.
 
Sawa ila Ugali wa Naibu waziri kashautema....Na hao hao CCM wenzie tayari huko simu zinaita kwenye wajumbe wa mashina ...yani 2025 kuna mbunge tayari kashaona hapo ndio kwa kupitia🤣....Hata lizimwe ila 2025 akigombea hapo hatobei ...Mark my word, Tuhuma tu zinafaa Tosha kushafuka kisiasa. Bila hata uthibitisho...
mimi nakubaliana na wewe maana 2025 jimbo la babati mjini linaenda Chadema😂😂
 
Mama wa hovyo kweli, yaani sababu za kijinga, imani za kishirikina kama huo ndio ukweli wenyewe kuna sababu za kuumizana kweli.

Mtu akiroga na we si unaroga kama unaamini uchawi upo. Nchi nzima watu wanalogana kila siku, wabunge karibu wote walogaji hadi kufika hapo. Kipi kipya hadi atende ukatili.
Mpaka Mjengoni watu walionekana wakinyunyizia vitu ! 😅🙏 hiyo ni sayansi tu ya kutishana tishana!
 
Dogo alikutwa na sumu, anataka kuweka kwenye chakula, aue watu aharibu biashara yake.
Sumu ya kuua na kuharibu biashara ?!
Hakunaga sumu inayoua kisha inaharibu biashara !!
Na hata kama ipo ndio achukue sheria mkononi kwa kuwa yeye ni Waziri wa Sheria. !! ?!
Amelikoroga !!
 
japo hakutumia njia sahihi kumuadhibu kijana imagine wewe hapo umegundua unataka kuuliwa kwa sumu na fulani utafanyaje?????

Tunahukumu sana na yeye ni binadamu
Kwahiyo jibu lake ndio kumzamisha chupa takoni?

Hizi ni akili za wapi? Mtu mwenye dhamana ya sheria na katiba anafanya upuuzi huu?
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X, habari ikimuhusu Pauline Gekul.

Kaandika hivi:

"Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul kadhaminiwa polisi Babati, karudi nyumbani kwake kupumzika baada ya kuhojiwa, lakini anasema anahofia usalama wake.. kwani Gekul anatakaje? Tumpelekee chupa za Coca-Cola zimlinde?"
Kabla ya hapo aliandika...
PAULINE GEKUL hadi muda huu saa 20:50 usiku EAT, anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Manyara, pichani akiwa ofisi za RCO - Manyara.

Kamanda wa polisi Manyara, GEORGE KATABANZI amegoma kutoa maelezo ya ziada ya kwanini anashikiliwa, amesisitiza ni taratibu za upelelezi. Taarifa nyingine ni kwamba katibu wa Pauline Gekul anayeitwa HUSSEIN S. ABRIMA na vijana wawili walioshiriki utesaji ule, wanashikiliwa polisi.

Taarifa tulizonazo ni kwamba jalada lililofunguliwa polisi ni malalamiko ya Pauline Gekul kutaka kuuwawa na siyo malalamiko ya Hashimu Philemon.Afande George Katabanzi, tunataka kuona haki ya Hashimu inapatikana polisi. Watanzania tupo tayari kuchanga fedha akapimwe hospitali za kisasa.

Tunakwenda kumpima kupata ushahidi wa kitabibu wa kumuingizia chupa makalioni Hashimu. Mnachelewesha ili ku-buy time eeh? Tumeshtuka.Tutafungua kesi mbili kama hamtaki kumshtaki Pauline GEKUL.

Tutafungua kesi ya jinai, madai na kikatiba na tutaomba tafsiri ya mahakama kuu.Tunao mawakili wa kutosha. Jopo linaongozwa Manyara na Wakili Thadei, Wakili Madeleka na mawakili wengine. Hatutaki kona-kona katika hili.

Pia soma >>>

1. Mbunge Pauline Gekul Akamatwa na Jeshi la Polisi Akijaribu Kutoroka Nchini Kuelekea nchini Kenya
2.
Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
Anguko hili...
 
Kwahiyo jibu lake ndio kumzamisha chupa takoni?

Hizi ni akili za wapi? Mtu mwenye dhamana ya sheria na katiba anafanya upuuzi huu?
Ndio maana tunauliza hizi vetting huwa zinafanywaje kabla ya mtu kuteuliwa !
Au ni mwendo wa na huyu ni mwenzetu !!
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X, habari ikimuhusu Pauline Gekul.

Kaandika hivi:

"Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul kadhaminiwa polisi Babati, karudi nyumbani kwake kupumzika baada ya kuhojiwa, lakini anasema anahofia usalama wake.. kwani Gekul anatakaje? Tumpelekee chupa za Coca-Cola zimlinde?"
Kabla ya hapo aliandika...
PAULINE GEKUL hadi muda huu saa 20:50 usiku EAT, anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Manyara, pichani akiwa ofisi za RCO - Manyara.

Kamanda wa polisi Manyara, GEORGE KATABANZI amegoma kutoa maelezo ya ziada ya kwanini anashikiliwa, amesisitiza ni taratibu za upelelezi. Taarifa nyingine ni kwamba katibu wa Pauline Gekul anayeitwa HUSSEIN S. ABRIMA na vijana wawili walioshiriki utesaji ule, wanashikiliwa polisi.

Taarifa tulizonazo ni kwamba jalada lililofunguliwa polisi ni malalamiko ya Pauline Gekul kutaka kuuwawa na siyo malalamiko ya Hashimu Philemon.Afande George Katabanzi, tunataka kuona haki ya Hashimu inapatikana polisi. Watanzania tupo tayari kuchanga fedha akapimwe hospitali za kisasa.

Tunakwenda kumpima kupata ushahidi wa kitabibu wa kumuingizia chupa makalioni Hashimu. Mnachelewesha ili ku-buy time eeh? Tumeshtuka.Tutafungua kesi mbili kama hamtaki kumshtaki Pauline GEKUL.

Tutafungua kesi ya jinai, madai na kikatiba na tutaomba tafsiri ya mahakama kuu.Tunao mawakili wa kutosha. Jopo linaongozwa Manyara na Wakili Thadei, Wakili Madeleka na mawakili wengine. Hatutaki kona-kona katika hili.

Pia soma >>>

1. Mbunge Pauline Gekul Akamatwa na Jeshi la Polisi Akijaribu Kutoroka Nchini Kuelekea nchini Kenya
2.
Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
Ingekua ni huku Chuga tayari wanachuga wangekua wamezingira nyumbani kwake na mawe kama yule Dangote alivyozua taharuki akiwa maiti ikabidi azikwe kwa siri watu wasijue kaburi lake.Chuga hainaga mbili kwenye moko
 
Gekul akubali tu, hiyo ndio imeenda.

Unaibu waziri amepoteza. Ubunge ndio unakwenda kufikia tamati 2025, na harudi tena bungeni. Biashara zake ndio mwanzo wa kufilisika. Hadhi na heshima yake kijamii ndio imekwenda milele.
Hata 2020 hakupita. Aliingizwa mjengoni kwa hisani ya shujaa katika ule ubatili
 
Vipi ndugu zako Gaza.
Ghaza watu wanasherehekea huko, umeona makomando walichpkifanya leo? Pitia hapa:

Lengo langu ni kuonyesha kuwa Babati siyo sehemu ya Arusha. Kuna sababu ya kujibizana kwa hoja katika hilo?
Mpare akienda kwao Mwanga au Same anasema anakwenda Moshi, hata Mchaga wa Rombo au Machame wote wanasema wanakwenda Moshi.

Tupunguze ujuwaji.
 
Back
Top Bottom