Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

Dah huyo bibie hafanani kabisa na hayo mambo,sema na yule dogo kwenye simu kazingua zaidi.
 
Kwani kuna sheria mtu ukiwa mbunge hata kama ukifanya kosa la jinai haiwezekani kulazwa selo na ku..ea ndoo angalau kwa siku mbili apate ekisipiriensi jamani!
 

Kama anahofia usalama wake arudi akalale polisi,
 
Mpare akienda kwao Mwanga au Same anasema anakwenda Moshi, hata Mchaga wa Rombo au Machame wote wanasema wanakwenda Moshi.

Tupunguze ujuwaji.
Mpare haendi moshi anaenda mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Same au Mwanga. Huu si ujuaji ni uhalisia. Babati haipo Arusha na kusema hivyo si ujuaji ni uhalisia. Sijajua kwanini hii hoja unaipinga.
 
Mpare haendi moshi anaenda mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Same au Mwanga. Huu si ujuaji ni uhalisia. Babati haipo Arusha na kusema hivyo si ujuaji ni uhalisia. Sijajua kwanini hii hoja unaipinga.
Hakuna Mpare anayeweza kukwambia anakwenda Kilimanjaro, wanatumia jina la Moshi, ujuwaji mwingine hauna maana yoyote.
 
Hakuna Mpare anayeweza kukwambia anakwenda Kilimanjaro, wanatumia jina la Moshi, ujuwaji mwingine hauna maana yoyote.
Mpare haendi moshi anaenda KLM. Huyo anayekwambia anaenda moshi labda anataka kuonekana ni mtu kutoka uchagani. Wapare nyumbani ni Same, Mwanga na kuna waliopo Tanga. Mpare feki huyo anayekwambia anaenda moshi.
 
watuhumiwa wengine wanakalishwa chini huyu wamempa kiti kizuri kabisaa kajiachia!
 


Hii case inaweza kuwa ulawiti (kwa kutumia chupa) na uhujumu uchumi kwa kui-distract nguvu kazi (kijana)?
 
Imani za kishirikina zinahusiana moja kwa moja na ujinga ambao huambatana na umasikini wa fikra.
Kitu cha kushangaza ni naibu waziri, tena wa katiba na sheria kujihusisha na mambo hayo.


Wakati wa kupata Uhuru Nyerere na ‘wazee wa Dar es salaam’ walienda Bagamoyo na wengine Lindi kutambika kwa ajili ya Uhuru huo.


Kila Rais anaeapishwa hapa JMT anasimikwa na ‘ma chief’ wa kabila/eneo fulani na kupewa jina na u chief kupitia matambiko.

Kila mwisho wa Mwaka baadhi ya kabila hukutana kwenye maeneo/mikoa yao ya asili na kufanya matambiko ya ‘shukrani’ na ‘kuufungua’ mwaka unaofuata.

Waganga/watabibu wa jadi ama kienyeji wanatambulika kisheria na serikali ya JMT.


Ni mengi.
 
Naona magaidi mnafarijiana uongo ila Hamas wanaomba poo. Hii game baro safari hii tutawamaliza na suruali zenu fupi
 
"usinene ukamala", subiri uchaguzi wa 2025.

usije ukaja kupigwa na kitu kizito pale sisiemu itakapokufanyia surprise, utashangaa anarudi bungeni na kuzawadiwa uwaziri.
Sawa.muda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…