PreGE2025 Mbunge Pauline Gekul aifariji familia ya mwananchi aliyechomwa moto nyumba

PreGE2025 Mbunge Pauline Gekul aifariji familia ya mwananchi aliyechomwa moto nyumba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Baada ya kusambaa kwa taarifa ya kuchomwa moto nyumba ya mwananchi wa Mtaa wa Maisaka kati Mbunge wa jimbo la Babati Mjini Mhe Pauline Gekul amejitokeza kuifariji familia ya mwananchi huyo, na kuwasihi wadau wenye mapenzi mema kuendelea kumsaidia muhanga wa tukio hilo.

Akizungumza na mwananchi huyo Mhe Gekul amesema amesikitishwa na tukio hilo, nakutoa mkono wa pole huku akiahidi kusimamia michongo mbalimbali ya wadau inayochangishwa kwa lengo la kumjengea nyumba ya mwananchi huyo.

 
Back
Top Bottom