Nae sadifa ajue anashindana na msanii,hawa hata jambo la kweli na msingi wanaliigiazia hapo ngoma droo,halafu nikajiuliza hivi hajui kua wanawake wengi wa bongo movie na wachunaji tu hajawai kuyaskia ya wolper na dalaz,aunt na yule pedeshee wake,au nae alikua anatafuta kick za msimu?Hapa Wastara, Ajue Anashindana na Wazee wa Majukwaani a.k.a Wanasiasa, Asishangae Akagaragazwa kwa K.O Maana Siasa ni Mchezo mchafu, na Uchafu uo ndiyo unaletwa ndani ya Ndoa!
HaahahahaaaIna maana huyu Wastara hasitiriki?
Hahahahaaa wanaume bwana?Mambo Vipi cheupe dawa!
teh teh tehHahahahaaa wanaume bwana?
Ngoja ukute ni dume hilo,ukija kuumbuliwa humu mimi simo.
Kimyaaaaaaa,kama sikujui.
Ha ha ha ha haaaa! Unajua marketing strategies?Hahahahaaa wanaume bwana?
Ngoja ukute ni dume hilo,ukija kuumbuliwa humu mimi simo.
Kimyaaaaaaa,kama sikujui.
Hapa unataka kuzungumzia brand name au?Ha ha ha ha haaaa! Unajua marketing strategies?
Ha ha ha ha ha haaaa!!! Exactly si unajua wengine ndo ugonjwa wetu huu!!Hapa unataka kuzungumzia brand name au?
Kwa maana hiyo 'cheupe dawa' kakuteka kwa ID yake?
Hahahaahaaaa