Mbunge Sadifa alalamika, asema Wastara alimloga

Mbunge Sadifa alalamika, asema Wastara alimloga

Hapa Wastara, Ajue Anashindana na Wazee wa Majukwaani a.k.a Wanasiasa, Asishangae Akagaragazwa kwa K.O Maana Siasa ni Mchezo mchafu, na Uchafu uo ndiyo unaletwa ndani ya Ndoa!
Nae sadifa ajue anashindana na msanii,hawa hata jambo la kweli na msingi wanaliigiazia hapo ngoma droo,halafu nikajiuliza hivi hajui kua wanawake wengi wa bongo movie na wachunaji tu hajawai kuyaskia ya wolper na dalaz,aunt na yule pedeshee wake,au nae alikua anatafuta kick za msimu?
 
Hapa unataka kuzungumzia brand name au?
Kwa maana hiyo 'cheupe dawa' kakuteka kwa ID yake?
Hahahaahaaaa
Ha ha ha ha ha haaaa!!! Exactly si unajua wengine ndo ugonjwa wetu huu!!
 
Looo na huyu nae anaitwa mwanamme? anaongea na Media ili iweje? na Wastara nae aangalie wanaume kabla hujaolewa
wengine si wanaume ni UPUPU....Ptuuuuu!!
 
Back
Top Bottom