othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 1,995
- 2,795
Nae sadifa ajue anashindana na msanii,hawa hata jambo la kweli na msingi wanaliigiazia hapo ngoma droo,halafu nikajiuliza hivi hajui kua wanawake wengi wa bongo movie na wachunaji tu hajawai kuyaskia ya wolper na dalaz,aunt na yule pedeshee wake,au nae alikua anatafuta kick za msimu?Hapa Wastara, Ajue Anashindana na Wazee wa Majukwaani a.k.a Wanasiasa, Asishangae Akagaragazwa kwa K.O Maana Siasa ni Mchezo mchafu, na Uchafu uo ndiyo unaletwa ndani ya Ndoa!