BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Jimbo lake la Muhambwe gari kwa ajili ya usimamizi wa maendeleo ya elimu ya sekondari. Gari hilo limeshakabidhiwa Jimboni tayali kwa usimamizi wa elimu sekondari na kusaidia maendeleo ya elimu.
Dkt. Samizi amesema Rais Samia amesikia kilio cha muda mrefu cha wananchi wa Jimbo la Muhambwe kwa kuwapatia gari hilo litakalosaidia sana maendeleo ya elimu Jimboni.
#KaziInaendelea.
Dkt. Samizi amesema Rais Samia amesikia kilio cha muda mrefu cha wananchi wa Jimbo la Muhambwe kwa kuwapatia gari hilo litakalosaidia sana maendeleo ya elimu Jimboni.
#KaziInaendelea.