Tunachunguzwa na nani ?? !!!Tunachunguzwa na hatujijui
Hao jamaa wanatisha sio mchezo !! Soon wataitawala dunia kiuchumi !!Tukiwaendekeza wachina watajaa kila pahala na kuleta mtifuano, china wana population kubwa na wanaanza kutapakaa dunia nzima. Kule ulaya kuna hadi maandamnao ya kupinga uvamizi wa wachina kutokana na kuongezeka kuzidi hadi idadi ya wazungu.....
Hajapewa shavu huyo tu akipewa atasifia tuShabiby yupo smart sana ni mbunge makini
Mi nataka wajae tuwe multicaltural society kama USA, South Africa, France na ndio huleta maendeleo..kwa akili za weusi za kuwaza ngono na pombe tu, maendeleo tutayasikia bombanikaranga wanazouza wachina wanazipata wapi? kama wananunua ndani kuna shida gan wakiuza. Au tumekariri ngoz nyeupe hawapaswi kufanya biashara ndogo ndogo kwan wa Africa wakienda huko hawafany biashara ndogo
siyo kushindwa yuko sahihi.nimetembele hivi karibuni ktk mkoa wa kagera nikakuta bei ya samaki iko juu wakati ziwa ni mdomo na pua nikauliza kwa nn bei ziko juu.wakaniambia samaki huenda uganda hivyo kufanya bei ya kitoweo hicho kuwa juu kisa tumeifungua nchi kwa kuweka mipaka wazi na holela na siyo samaki tu bali hata bidhaa za chakula.cjui kwa wachumi kuruhusu kila kitu kwenda nje nayo siyo sababu ya vitu kupanda bei na kusababisha inflation?tusaidieni wachumi wetu na huu ni uchumi gani?Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?
Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Hapo anatafuta namna ya kukwepa kulipa kodiHaya Mataga yanatuona sisi wananchi ni mazuzu,
Mbona Bungeni yupo muda mrefu sana,kwanini hakuhoji aliyeifunga Nchi wakati akiwepo?
Ushahidi nenda KariakooAna ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?
Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Hata Mimi nashangaa🥺Enzi zile alikuwa Kimyaaaahhhh
Tuangalie hojaHata Mimi nashangaa[emoji3064]
Huyo Mwarabu/Mkaguru kuanza kushupalia masuala ya wachina, kwenye awamu hii, au ndiyo kaanza kuingiliwa kwenye biashara yake ya mabasi?
😆😆😆😆😆,Hao wa Kariakoo ndio umewaona awamu hii ya 6?Ushahidi nenda Kariakoo
Unataka ushahidi kuwa air Tanzania haiingii China kupeleka wafanyabiashara?Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?
Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.