Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

Tukiwaendekeza wachina watajaa kila pahala na kuleta mtifuano, china wana population kubwa na wanaanza kutapakaa dunia nzima. Kule ulaya kuna hadi maandamnao ya kupinga uvamizi wa wachina kutokana na kuongezeka kuzidi hadi idadi ya wazungu.....
 
Hao jamaa wanatisha sio mchezo !! Soon wataitawala dunia kiuchumi !!
 
karanga wanazouza wachina wanazipata wapi? kama wananunua ndani kuna shida gan wakiuza. Au tumekariri ngoz nyeupe hawapaswi kufanya biashara ndogo ndogo kwan wa Africa wakienda huko hawafany biashara ndogo
 
Hilo tatizo la wachina kujaa nchini mbona lipo tangu kipindi cha Magu? Halijaanza kipindi hiki cha Samia
Hamuwezi kutoa habari bila kuweka propaganda?
 
karanga wanazouza wachina wanazipata wapi? kama wananunua ndani kuna shida gan wakiuza. Au tumekariri ngoz nyeupe hawapaswi kufanya biashara ndogo ndogo kwan wa Africa wakienda huko hawafany biashara ndogo
Mi nataka wajae tuwe multicaltural society kama USA, South Africa, France na ndio huleta maendeleo..kwa akili za weusi za kuwaza ngono na pombe tu, maendeleo tutayasikia bombani
 
Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?

Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
siyo kushindwa yuko sahihi.nimetembele hivi karibuni ktk mkoa wa kagera nikakuta bei ya samaki iko juu wakati ziwa ni mdomo na pua nikauliza kwa nn bei ziko juu.wakaniambia samaki huenda uganda hivyo kufanya bei ya kitoweo hicho kuwa juu kisa tumeifungua nchi kwa kuweka mipaka wazi na holela na siyo samaki tu bali hata bidhaa za chakula.cjui kwa wachumi kuruhusu kila kitu kwenda nje nayo siyo sababu ya vitu kupanda bei na kusababisha inflation?tusaidieni wachumi wetu na huu ni uchumi gani?
 
Ushahidi nenda Kariakoo
😆😆😆😆😆,Hao wa Kariakoo ndio umewaona awamu hii ya 6?

Walikuwepo miaka mingi,huku kwetu wanachezesha hadi bao..

Hoja iwe kukomesha kuruhusu Wachina kienyeji sio kunyoshea kidole awamu ya 6,hili jambo halijaanza leo kulalamikiwa..

Kwa hiyo yule mwarabu wenu shabiby mpuuzi aache majungu na unafiki maana nae Tanzania sio kwao.
 
Wachina hawajaanza kuja "bongo" awamu ya sita. Tokea mwanzo wa miaka ya 2000 walijaa sana hasa maeneo ya Kariakoo.
Nakumbuka miaka hiyo niliyoitaja, jirani na nyumbani (uswazi) wachina walipanga nyumba nzima na walikuwa wanatengeneza mabegi ya mgongoni na kuyauza Kariakoo.
Kifupi wachina hawa wauzaji wa karanga, madafu.. etc walikuwepo miaka mingi hapa Tanzania. Sio sahihi kusingizia "kufungua nchi" kwenye janga hili.
 
Shabiby ana hoja ya msingi. Tuwalete wataalamu tunaowahitaji. Sio wamachinga wa China.

Otherwise waturuhusu na sisi kuwa Machinga kule China na kufanya biashara yoyote bila vikwazo. Sera yetu iwe Reciprocity.
 
Hapo Kenya tu serikali haitoi leseni ya kufanya biashara (trading) kwa wageni bali wanatoa leseni za kuwezekeza kwneye viwanda na mirafi mikubwa. Hapa kwetu ukienda kariakoo wachina wana maduka ya kawaida wanauza kila kitu kitu ambacho sio sahihi nchi lazima iwe na sera za kulinda ajira chache zilizopo.

Kwenye magereji huko ndio usiseme...
 
Back
Top Bottom