Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

Shabiby yupo smart sana ni mbunge makini
Si ndiye aliyeshauri serikali ikanunue mafuta kwenye meli zilizopo deep sea?
Deep sea kuna mafuta haramu, unawezaje kuishauri serikali ikanunue mafuta haramu
 
Wanauza hadi miwa na mboga mboga, hadi madafu tena kwa zile phoenix zao
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Si ndiye aliyeshauri serikali ikanunue mafuta kwenye meli zilizopo deep sea?
Deep sea kuna mafuta haramu, unawezaje kuishauri serikali ikanunue mafuta haramu

Bila vikwazo wala sio sera mbaya. Mafuta unanunua kwa being ndogo.

India, Serbia, China wameweka dili za nguvu na Urusi. Sisi hatuna ugomvi na Russia.

USA yenyewe inanunua mafuta yao 10%, mbolea na wheat kutoka Urusi.
 
Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?

Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Kopo kama hizi ni Tatizo kuu kwenye ukuaji wa nchi yetu, unashindwa kwenda kariakoo kuona kama wachina wanauza plastic? Siku hizi wanauza hadi maduka yenye mitaji ya mangi..
 
Imefika hatua mchina anauza sumu ya panya mende kunguni viroboto kwa kutumia kile ki🔊 sasa serekali haioni wamakonde wana nyang'anywa biashara zao?
 
Waongeze uzalishaji
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu ndiyo hali halisi, nilikutana na mwingine pale darajani Riverside opposite na Land Mark Hotel, kuna watu hupanda vitu vya kuuza. Namuona Mchina anakatiza na baiskeli yake na mzigo wa vegetables, nikabaki nashangaa sana.
 
Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?

Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Kariakoo hakuna wachina wanauza yeboyebo na vyombo vya plastiki? Kariakoo anaingia kila mtu nenda kaangalie badala ya kubwabwaja kisa una jero ya bando.
 
Hii ni nzuri wafugaji wa samaki na wavuvi wanufaike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…