Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

Shabiby yupo smart sana ni mbunge makini
Si ndiye aliyeshauri serikali ikanunue mafuta kwenye meli zilizopo deep sea?
Deep sea kuna mafuta haramu, unawezaje kuishauri serikali ikanunue mafuta haramu
 
Bila vikwazo wala sio sera mbaya. Mafuta unanunua kwa being ndogo.

India, Serbia, China wameweka dili za nguvu na Urusi. Sisi hatuna ugomvi na Russia.

USA yenyewe inanunua mafuta yao 10%, mbolea na wheat kutoka Urusi.
 
Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?

Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Kopo kama hizi ni Tatizo kuu kwenye ukuaji wa nchi yetu, unashindwa kwenda kariakoo kuona kama wachina wanauza plastic? Siku hizi wanauza hadi maduka yenye mitaji ya mangi..
 
Imefika hatua mchina anauza sumu ya panya mende kunguni viroboto kwa kutumia kile ki🔊 sasa serekali haioni wamakonde wana nyang'anywa biashara zao?
 
siyo kushindwa yuko sahihi.nimetembele hivi karibuni ktk mkoa wa kagera nikakuta bei ya samaki iko juu wakati ziwa ni mdomo na pua nikauliza kwa nn bei ziko juu.wakaniambia samaki huenda uganda hivyo kufanya bei ya kitoweo hicho kuwa juu kisa tumeifungua nchi kwa kuweka mipaka wazi na holela na siyo samaki tu bali hata bidhaa za chakula.cjui kwa wachumi kuruhusu kila kitu kwenda nje nayo siyo sababu ya vitu kupanda bei na kusababisha inflation?tusaidieni wachumi wetu na huu ni uchumi gani?
Waongeze uzalishaji
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu ndiyo hali halisi, nilikutana na mwingine pale darajani Riverside opposite na Land Mark Hotel, kuna watu hupanda vitu vya kuuza. Namuona Mchina anakatiza na baiskeli yake na mzigo wa vegetables, nikabaki nashangaa sana.
 
Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?

Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Kariakoo hakuna wachina wanauza yeboyebo na vyombo vya plastiki? Kariakoo anaingia kila mtu nenda kaangalie badala ya kubwabwaja kisa una jero ya bando.
 
siyo kushindwa yuko sahihi.nimetembele hivi karibuni ktk mkoa wa kagera nikakuta bei ya samaki iko juu wakati ziwa ni mdomo na pua nikauliza kwa nn bei ziko juu.wakaniambia samaki huenda uganda hivyo kufanya bei ya kitoweo hicho kuwa juu kisa tumeifungua nchi kwa kuweka mipaka wazi na holela na siyo samaki tu bali hata bidhaa za chakula.cjui kwa wachumi kuruhusu kila kitu kwenda nje nayo siyo sababu ya vitu kupanda bei na kusababisha inflation?tusaidieni wachumi wetu na huu ni uchumi gani?
Hii ni nzuri wafugaji wa samaki na wavuvi wanufaike
 
Back
Top Bottom