Hana njaa za kijingaShabiby yupo smart sana ni mbunge makini
Wew Ni lijinga na nilimtu la hovyooo saaan kuwahi kutokeaAna ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?
Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Jinga kweli wewAna ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?
Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Wewe unaebisha una lipi la ziada kuhusu hiyo hoja.Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?
Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Hoja yangu ni kwamba lazima kufanya compliance kwa concerns za wachina..Wewe unaebisha una lipi la ziada kuhusu hiyo hoja.
Na kama kaongea uongo lete facts
Jibu hojaJinga kweli wew
Jibu hoja acha vioja wewe punguaniWew Ni lijinga na nilimtu la hovyooo saaan kuwahi kutokea
Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
Namna anavyoiongelea,heading ya mtoa mada na content ni sawa?Mbona unarukaruka sana. Hoja yako ni ipi hasa? Hata kama walianza wakati wa ukoloni haimzuii mtu kuiongelea.
Hata kama ni praise team,ila alichoongea ni cha kweli au si kweli?Mzee wa praise team huyo ni mwana CCM mwenzio
Mjinga ww watu wazima wakiwa waongea wwe mtto nenda kakojoe ukalale au msubil mama yako akutawaze ukalaleAna ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?
Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Rubbish,huna hojaMjinga ww watu wazima wakiwa waongea wwe mtto nenda kakojoe ukalale au msubil mama yako akutawaze ukalale
Hakuna cha compliance wala madudu gani sijui. China wanafanya protectionism ili kudhibiti uchumi wao usiporomoke ila nyie mijinga ya Tanzania mkielezwa na wanaojua mnajiropokea kama mazuzu.Kwani air Tanzania imezuiliwa China pekee? Fanyeni compliance ya wanachotaka vinginevyo mtaishia kulia Lia tuu.
Nenda China kauze karangaIvi jamani kuna mtanzania aliyekatazwa kuuza karanga?
Jesus is Lord