Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

Influx ya wachina na wahindi ktk nchi hi imeongezeka Mara dufu jmaa angu amefukuzwa Kaz ila ampishe muhindi ktk nafasi hyo sijui tunaenda wapi ktk nnchi hii
 
Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?

Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Wewe unaebisha una lipi la ziada kuhusu hiyo hoja.
Na kama kaongea uongo lete facts
 
Sas HV Kuna kampuni inaitwa China Tanzania imepata tenda za kulinda mwendokasi

Jmn wew mama wa kambo utakuja kuutuzia nyumba yetu HV HV yaani .hufai kuwa mam wetu
 
Shabiby ana hoja ya msingi tu katika hili, Pamoja na kwamba nashaka na dhamira yake kwa kuwa pengine hii fungua nchi imetishia biashara zake
 
Huenda wachina wameingiza mabasi mazuri ya gharama zaidi kuliko ya kwake
 
Wewe unaebisha una lipi la ziada kuhusu hiyo hoja.
Na kama kaongea uongo lete facts
Hoja yangu ni kwamba lazima kufanya compliance kwa concerns za wachina..

Pili Tzn hapa kila raia wa kigeni anaingia anavyojiskia miaka na miaka hakuna wa kustuka si raia wala serikali..

Kwa hiyo ifanyike oparesheni maalumu kubaini wageni wote
 
Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?

Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Mjinga ww watu wazima wakiwa waongea wwe mtto nenda kakojoe ukalale au msubil mama yako akutawaze ukalale
 
Kwani air Tanzania imezuiliwa China pekee? Fanyeni compliance ya wanachotaka vinginevyo mtaishia kulia Lia tuu.
Hakuna cha compliance wala madudu gani sijui. China wanafanya protectionism ili kudhibiti uchumi wao usiporomoke ila nyie mijinga ya Tanzania mkielezwa na wanaojua mnajiropokea kama mazuzu.
 
Back
Top Bottom