Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

Mbunge Shabiby ahoji utaratibu unaotumika kufungua nchi, atahadharisha Tanzania kugeuka shamba la bibi

Kamuulize Balozi wa China.Wameanza kutoruhusiwa awamu ya 6?

Ndio maana nimemwambia wewe ni hamnazo na nikaongezea Hiyo analalamika kwa sababu zake za biashara hapa anachochea moto tuu Kisa kazuiwa..

Uende China hujachanja na kama umechanja ni kadozi kamoja,nani akuruhusu ukapeleke corona wakati wenzio wako lockdown mda huu tunaongea?
ndomana tunaitwa manyani Kama sis hatuchanji wanakuja kwetu kufanya nin tumia ubongo bas
 
Kariakoo hakuna wachina wanauza yeboyebo na vyombo vya plastiki? Kariakoo anaingia kila mtu nenda kaangalie badala ya kubwabwaja kisa una jero ya bando.
tulia ww niliwakuta mtaani pale wanauza mapazia reja reja,mwingine long time anapima uzito mnazi mmoja acha niliyemkuta migo na guta anauza yeboyebo na kila aina ya viakataka vya plastic viatu vya watoto
 
Wabongo mnachosha. Hizo kazi za machinga mnaziponda kila siku, hata watoto wenu hamtaki wazifanye. Lakini wakifanya Wachina inakuwa taabu. Hao Wachina wamesambaa dunia nzima kufanya hizo kazi za chini. Hata ukienda New York utawakuta, ukienda London wapo.
 
Ana ushahidi au anaropoka tuu Kisa kaanza kushindwa na Wachina kwenye biashara zake?

Aweke huo ushahidi wa madai yake vinginevyo ni hofu za kuanguka kwa biashara zake.
Wewe mtu una wazimu kichwani, sasa nimetambua.

Anayeropoka hapa sasa ni nani kama siyo wewe!
Unadai ushahidi, huna macho kujionea wewe mwenyewe?

Hopeless Kabisa. 'SKUNK'
 
Mimi sio praise team wala sio mwanaccm au chama chochote,mimi ni shabiki binafsi wa SSH, ila sitakagi ujinga..

Kuwa mwanaccm ndio nini? Kama anatetea biashara zake? Aweke ushahidi.
Kama ww ni shabiki wake basi ni wazi hatakagi ujinga maana ww mwenyewe ni tajiri wa huo ujinga...umekujaa saaaana huo ujinga hata huna Tena pa kuuhifadhi na Sasa unautoa tuuu😂!
 
Kama ww ni shabiki wake basi ni wazi hatakagi ujinga maana ww mwenyewe ni tajiri wa huo ujinga...umekujaa saaaana huo ujinga hata huna Tena pa kuuhifadhi na Sasa unautoa tuuu😂!
Ni sawa kabisaa,acha niendelee kuutoa madam unatoka
 
Bila kuwasahau wamachinga waliochangamka wamisri na waturuki wamejaa nao wanakopesha vyombo,majiko, blenders Kwenye magari yao huwezi mkuta mbongo misri au uturuki akifanya hivo pia,kwanza akuruhusu nani!!
 
Ndo hovyo wewe ulitakaje? [emoji38][emoji38]
Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha.

Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu ,kwa kweli inasikitisha sana
 
Mi nataka wajae tuwe multicaltural society kama USA, South Africa, France na ndio huleta maendeleo..kwa akili za weusi za kuwaza ngono na pombe tu, maendeleo tutayasikia bombani
Yaani Mchina alete maendeleo Afrika unaota wewe
 
Back
Top Bottom