Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.


Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Duh, na wewe?

Basi kazi ulikuwapo! Mwanzoni ulivyokuwa unaimba nyimbo za kusifu na kuabudu sasa!!
 
Okay baada ya kukataa kwamba matapeli bado wapo waziri kaleta majibu gani ?

Na hao matapeli nani aliwaleta na baada ya kujulikana kwamba ni matapeli walichukuliwa hatua gani ?
 
Bibie kimya chako mpaka kiliniogopesha. Nimefurahi leo kukuona tena kwenye JF.
Ramadhan maqbul.
Mimi nilikuwa na wasiwasi na WASIOJULIKANA kutokana na mada yake Ile aliyotaka Jengo la IKULU ya Dar es Salaam lirudishwe kwa Waislam kutokana IKULU imeshahamia Dodoma.
 
Ufisadi wa kutisha wa Magufuli wazidi kuanikwa

Kama Shujaa wa Mazezeta angelikuwepo asingeruhusu haya yaibuliwe
yaani mtu kajiamlia kufanya kitu unamhusishaje na mtu mwingine huo ni ushamba
 
Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.


Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Na ubabe usio na maono huo huo ukamuondoa. Watu wanakufa kwa corona yeye anasema hakuna corona ni hofu tu. Corona hiyo hiyo ikamwondoa. Hata hivyo mama Samia ana mtego mkubwa sna mbele yake. Anatakiwa a-balance asirudi kwenye utawala ''mlegezo'' na uliojaa kila aina ya uzembe na ufisadi wa Kikwete kwa kigezo cha kuogopa kuendeleza ubabe wa Magufuli. Awe mkali kweli kweli kwa wazembe na mafisadi bila ubabe na asirudie enzi za Kikwete.
 

kumbe na wewe uko kwenye mkumbo huu wa ufisadi?

hizo bilioni ni nothing compare na umuhimu ww wanachofanya

shabiby anataka mafuta yachakachuliwe, TBS hawana uwezo na wamekiri hawana

waziri kavunja mkataba...wajipatie hela



Tunarudi enzi za JK...za kuharibu spare

uwe na akili kujua nchi inaliwa vipi hii

sasa makampuni ya simu kwa mwezi si yanaingiza trillion??

TBS hata wakijakuwa na uwezo ..bado kutakuwa na ujinga wa kutokufanya kwa usahihi
 
Sasa ona ulivyodanganya watanzania wenzako .....akiwemo faizafoxy...umeweza🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…