Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Naunga mkono hoja mkuu
 
Reactions: BAK
Hiyo kampuni huenda ina uhusiano na mwendazake, alikuwa fisadi mzalendo
 
CCM kumejaa matapeli tupu
 
Yaani sasa hivi raha sana, CCM wanapigana za uso wao kwa wao baada ya kuua upinzani [emoji16]

Yaani waziri anaishia tu kusema walisitisha mkataba, lakini haweki wazi hatua nyingine za kimahakama...

CCM buana!!!
 
Katika Utawala wangu hakuna Hela ya Serikali itakayo LIWA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukisikiliza clip ya shabiby wakati anaongea Bungeni,utagundua ni vigogo wa ngazi za juu serikalini ndio wanahusika maana wanajiamini kiasi kwamba wanatishia hata watu waliokuwa wanajaribu ku-expose huu wizi.

Sasa nimegundua kwanini CAG Kichere naye anatishiwa maisha na vigogo haohao ndani ya Serikali.
Bila ya kupepesa macho wala kigugumizi hawa ndio KUNDI LA WATU WASIOJULIKANA ilokuwa sehemu ya Utawala wa Rais aliyefia madarakani.....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…