well done mh. sheilaMbung Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Sheila Edward Lukuba wakati akichangia hoja Bungeni leo Aprili 14, 2026, amemsomea Rais Samia kifungu cha Biblia kumtia nguvu asiogope kuendelea kufanya kazi kwani umoja wa wanawake UWT ipo tayari kumpa ushirikiano
"Mama ninakupa mstari kwenye Biblia, nakupa mstari kwenye Biblia ambao utakutia nguvu. Isaya 41:10: 'Usiogope, maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia."
Hakuna bunge ni bange.tuMbung Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Sheila Edward Lukuba wakati akichangia hoja Bungeni leo Aprili 14, 2026, amemsomea Rais Samia kifungu cha Biblia kumtia nguvu asiogope kuendelea kufanya kazi kwani umoja wa wanawake UWT ipo tayari kumpa ushirikiano