Mbunge Sigrada: Tanzania tuna utawala wa matamko, hatuna utawala wa sheria

Mbunge Sigrada: Tanzania tuna utawala wa matamko, hatuna utawala wa sheria

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge Sigrada amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaendeshwa kwa utawala wa matamko badala ya utawala wa sheria, akisisitiza kuwa misingi ya kisheria ndiyo inapaswa kuongoza maamuzi na utendaji wa taasisi za umma

Hakunanga utawala wa sheria. Tanzania tuna utawala wa matamko. Sheria zipo ila hatuzitumi hatuzifuati. Tunaishi kwa matamko. Aliyesema ni nani? Ah ni waziri. Twendange hivo hiv kesho amesema nani? Juma twendange hivo hiv. Tunaishi kwa matamko. Sheria tumeweka chini ya vitanda. Tumefunika

 
Back
Top Bottom