Mbunge kutoka Tunguu, Zanzibar, Simai Mohamed Said anasema ndani ya Serikali kuna kiongozi ambaye ni Yuda kwani amewasaliti wenzake, anasema kiongozi huyo aliwahi kutajwa kama kiongozi mzigo na wakati wa Hayati Magufuli alitupwa mbali huko pembezoni mwa dunia.
Soma Mmemsikia Mbunge wa Tunguu, Zanzibar Simai Saidi akitamka "Watanzania na Wazanzibari"? Hawa watu wanatafuta nini lakini?