secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kunguru wa zenji wanazingua sana.anantukana mtanganyika katika Ardhi ya Tanganyika! daah
Kunguru wa zenji wanazingua sana.anantukana mtanganyika katika Ardhi ya Tanganyika! daah
Dogo hajui, aliyempa yule kile kiti ndie huyo huyo aliyenyuma ya huyo Yuda!, zipo taarifa kuwa the Don amewekwa pembeni!, hawawekeki, figisu zikizidi, mtu anatangulizwa, kisha Yuda kukalia kiti, kama nilivyoeleza hapa Japo Kuna Vitu Vinatokea Kwa Kudra Tuu za Mwenyezi Mungu, Je Unaamini Kuna Watu Wana Powers za Kumkudrisha Mwenyeezi Mungu?, Amini Usiamini, Wapo!Ukiona panya anapiga misele mingi ujue shimo lake liko karibu, amini usiamini huyu ana baraka zote za anayemtetea.Hili joto tulikuwa tunasimuliwa tu kuwa hakuko shwari sasa wameamua kutuonesh wazi sisi wapenzi watazamaji na pia tunaandaliwa kisaikolojia.
Sura ya nchimbi, unaona Kuna boya hapo? bro huyo jamaa, umeanza kumsikia Leo? Hakuna mtu anamuogopa nchimbi kama mwijaku alitaka kuleta mazoea kwenye iftar gala wewe, Ali katwa jicho Hilo, bro hao achana nao watajuana wenyewe wamekutana wote watabe.Kila utawala unakuwaga na rogue elements kama huyu. Ila hawa wa maza ni wa kuwa nao makini zaidi. Wanakutoa roho faster. Vice president awe makini, japo nasikia na yeye ni mcheza faulo za gizani mzuri sana.
Huyo dogo, nilimsifu sana humu alikuwa shujaa wangu, kaharibu!. Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake? na makala gazetini nikamuandikia
View attachment 3600212
ila niliopo soma hii Mbunge Simai: Kuna yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
Ukimjua huyo mtu huyu jamaa aliyemuita Yuda, kiukweli huyu dogo Mhe. Simai, amechemka big time!.
Huyo aliyemuita Yuda, yeye hana matatizo, tatizo ni walio nyuma ya huyo Yuda!, Simai anajiingiza kwenye a very dangerous zone bila mwenyewe kujijua!, kusipotokea wenye busara, kumshauri, acheze mbali na anga za huyo Yuda!, take it from me, sasa hivi Mhe. Simai atageuka kuwa ni historia in no time!.
Nikajua dogo kachemka big time!.
P
Dr. Omar Ali Juma!.hivi kuna muslim yoyote mkubwa keshawahi kumalizwa? sijawahi kusikia hata siku moja, na sasa wakirudi ktk huko huko kwa putin sumu ni kama zote …
Tanzania tutamkumbuka Daktari omary juma....hivi kuna muslim yoyote mkubwa keshawahi kumalizwa? sijawahi kusikia hata siku moja, na sasa wakirudi ktk huko huko kwa putin sumu ni kama zote …
Hii habari ina ukweli naskia Don kawekwa pembeni kamwambia unaniaribia hii nimeipata leo viunga vya dodoma wewe jamaa unakuaga na za ndani kabisa salute mkuuDogo hajui, aliyempa yule kile kiti ndie huyo huyo aliyenyuma ya huyo Yuda!, zipo taarifa kuwa the Don amewekwa pembeni!, hawawekeki, figisu zikizidi, mtu anatangulizwa, kisha Yuda kukalia kiti, kama nilivyoeleza hapa Japo Kuna Vitu Vinatokea Kwa Kudra Tuu za Mwenyezi Mungu, Je Unaamini Kuna Watu Wana Powers za Kumkudrisha Mwenyeezi Mungu?, Amini Usiamini, Wapo!
P
Sasa samia ana utabe gani?Sura ya nchimbi, unaona Kuna boya hapo? bro huyo jamaa, umeanza kumsikia Leo? Hakuna mtu anamuogopa nchimbi kama mwijaku alitaka kuleta mazoea kwenye iftar gala wewe, Ali katwa jicho Hilo, bro hao achana nao watajuana wenyewe wamekutana wote watabe.
Its true!, ila kuna vitu huwezi kufanya!,Hii habari ina ukweli naskia Don kawekwa pembeni kamwambia unaniaribia hii nimeipata leo viunga vya dodoma wewe jamaa unakuaga na za ndani kabisa salute mkuu
Nimeshamjua the don sasaIts true!, ila kuna vitu huwezi kufanya!,
Ni the Don ndiye aliyecheza ile game yeye akaingia!
Ni the Don aliyefadhili ile trip ya Filamu ya Royal Tour1
Ni the Don aliyefadhili Expo Dubai!.
Ziara zote za nje, ni the Don ndie anabeba fuko la hela for for any incidental!.
Kama ni kweli ni the Don ndie aliyemsafishia njia, akionekana ni kiwingu, njia itasafishwa tena!.
P
Exactly, amewasilisha tu ujumbe wa Samia, Hussein Mwinyi na takataka nyingine humohumo mbogamboga united.Huyo mmbunge ujue katumwa 😅
Ukiona kifaranga juu ya chungu, basi ujue mama yake yuko ndani.Wameficha fiche wee kuwa kuna valangati huko sasa imekuwa bayana kuwa Samia na Nchimbi wanazinguana. Samia kaamua kumtuma mbunge wake toka Tunguu apasue bomu ndani ya bunge.
Sisi nikuangalia tu no way na kuomba Mungu atupe umri mrefu sanaIts true!, ila kuna vitu huwezi kufanya!,
Ni the Don ndiye aliyecheza ile game yeye akaingia!
Ni the Don aliyefadhili ile trip ya Filamu ya Royal Tour1
Ni the Don aliyefadhili Expo Dubai!.
Ziara zote za nje, ni the Don ndie anabeba fuko la hela for for any incidental!.
Kama ni kweli ni the Don ndie aliyemsafishia njia, akionekana ni kiwingu, njia itasafishwa tena!.
P
Familia ambao hawataki "mzigo" serikalini imemwagiza aseme hayo.Huyo dogo, nilimsifu sana humu alikuwa shujaa wangu, kaharibu!. Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake? na makala gazetini nikamuandikia
View attachment 3600212
ila niliopo soma hii Mbunge Simai: Kuna yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
Ukimjua huyo mtu huyu jamaa aliyemuita Yuda, kiukweli huyu dogo Mhe. Simai, amechemka big time!.
Huyo aliyemuita Yuda, yeye hana matatizo, tatizo ni walio nyuma ya huyo Yuda!, Simai anajiingiza kwenye a very dangerous zone bila mwenyewe kujijua!, kusipotokea wenye busara, kumshauri, acheze mbali na anga za huyo Yuda!, take it from me, sasa hivi Mhe. Simai atageuka kuwa ni historia in no time!.
Nikajua dogo kachemka big time!.
P
Haya mafumbo kwa sisi ambao hatujaishi 'quaters' tunatoka patupu.zipo taarifa kuwa the Don amewekwa pembeni!, hawawekeki, figisu zikizidi, mtu anatangulizwa, kisha Yuda kukalia kiti,
Makonda alielekwa nje wapi?Ninyi hamjan'gamua hii kauli ya huyu mbunge, yuda anayeongelewa hapa ni Makonda. Kawaumiza wanasiasa na wengine walikuwa mbele leo wako nyuma upande wa wabunge kule( Nape) kawaumiza wafanyabiashara (GSM). Hata familia iliyomlea leo haimtaki karibu(Familia ya Samwel Sita). Magufuli alimtupa mbali nje ya dunia( Alimuondoa kwenye ukuu wa mkoa na kwenye mfumo kiujumla).
Karume wa Zanzibarhivi kuna muslim yoyote mkubwa keshawahi kumalizwa? sijawahi kusikia hata siku moja, na sasa wakirudi ktk huko huko kwa putin sumu ni kama zote …
Mkuu P wewe unafikiri ni nini hatma ya hili sakata? Je kwa upande utakaoibuka mshindi watanufaika kwa lolote? Je kwa upande wa Taifa kuna manufaa yeyote?Its true!, ila kuna vitu huwezi kufanya!,