Sio kumjibu tu na alijiuluzu uwazir wa utalii kule ZanzibarHuyu ndie alie mjibu Dr mwinyi mitandaoni, huyu jamaa ana jeuri sijui inatoka wapi, muda ni hakimu mzuri
Sio kumjibu tu na alijiuluzu uwazir wa utalii kule ZanzibarHuyu ndie alie mjibu Dr mwinyi mitandaoni, huyu jamaa ana jeuri sijui inatoka wapi, muda ni hakimu mzuri
Mtu mwenye uwezo wa kumuweka kitini CIC siyo wa kumpuuza.Huyo Don ni mkubwa kuliko hata vyombo vyetu vya kutulinda?..
KIngmakerDon ni nani 😁
Ndo amewekwa kando?KIngmaker
😂😂😂Sura ya nchimbi, unaona Kuna boya hapo? bro huyo jamaa, umeanza kumsikia Leo? Hakuna mtu anamuogopa nchimbi kama mwijaku alitaka kuleta mazoea kwenye iftar gala wewe, Ali katwa jicho Hilo, bro hao achana nao watajuana wenyewe wamekutana wote watabe.
Don huyo anachelewa nini kusafisha njia? Au ndo ile hadi mambo yaharibike sanaa?/Its true!, ila kuna vitu huwezi kufanya!,
Ni the Don ndiye aliyecheza ile game yeye akaingia!
Ni the Don aliyefadhili ile trip ya Filamu ya Royal Tour1
Ni the Don aliyefadhili Expo Dubai!.
Ziara zote za nje, ni the Don ndie anabeba fuko la hela for for any incidental!.
Kama ni kweli ni the Don ndie aliyemsafishia njia, akionekana ni kiwingu, njia itasafishwa tena!.
P
Kwamba jomba ni ngunguli Sana?😀Kwa kesi ya Emma labda wamuue au wamsababishie ugonjwa wa kumfanya aache ofisi, kinyume na hapo labda akimbie yeye bimsumi.
K
Don mwenyewe usha mjua? Je ndie deep state au ni zaidi ya deep state?Don huyo anachelewa nini kusafisha njia? Au ndo ile hadi mambo yaharibike sanaa?/
😂😂😂TISS ni chawa wa Abdul, bora hata mgambo wa city wanaweza kuamua mambo kwa faida ya Tanganyika.
Don huyo ndio anaweza kumkata ngebe cheki bobu na akatuliaa.Don mwenyewe usha mjua? Je ndie deep state au ni zaidi ya deep state?
Kati yake na Cheki-Bobu nani anaweza kusafisha njia?
P Una kichwa chenye GB nyingi walahi😀Dr. Omar Ali Juma!.
P
Hiyo TISS yenyewe haijatekwa?Wazanzibar wanajiona kama washaiteka Tanganyika na TISS ipo TU inaangalia Tanganyika yetu inavyobagazwa
Nimeshangaa sana 😄Tulipofikia ni hatari
Kama mbunge unasimama bungeni kumwita Yuda makamu wa Rais aisee na ni wachama chako
Huyo ni speaker tu 😀😀Huyo mmbunge ujue katumwa 😅
😂 Alimjibu nini !?Huyu ndie alie mjibu Dr mwinyi mitandaoni, huyu jamaa ana jeuri sijui inatoka wapi, muda ni hakimu mzuri
Imagine 🤣Na hakuna mtu katoa taarifa wala kiti hakijasema chochote
Huyo mbunge Vipi ni no sense, gentleman!Ndugu mdau,
Dr Emmanuel John Nchimbi ni agenda ya taifa letu kwa mwaka 2030-2040.
hakuna wa kuzuia agenda hii kutimia 🐒
😄😄😄 MrohoMnara wa babeli!
Walidhani wametukomoa sisi ,kumbe kila mmoja anawaza lake!
Na ndio kwanza safari yao iko mwezi wa 8 tangu wainze! Wameanza kuitana majina mabaya😁😁😁😁👍👍,
Sema Imma nae mroho wa madaraka sana ndio maana alisimamia ule uhuni wa January 2025 bila haya!
ana hoja useless 🐒Huyo mbunge Vipi ni no sense, gentleman!
Walio mtuma nao ni useless nonsense kabisa? Maana anajinasibu kuwa ni mwana familiaana hoja useless 🐒