Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi

Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi

😄😄😄 Mroho

Hata Mimi mwenyewe nilishangaa sana alipoonyesha text ya late magufuli , nikasema huyu jamaa anatafutia public tension hakuna kitu kingine anataka apewe priority na wananchi 😄😄😄

Kumbe bwana na wenyewe kina bimsumi wamelishtukia hilo
La sms amecheza na amefanikiwa sana, alipokelewa vizuri sana... Mpaka sasa jamaa amejilinda na hana doa kwenye makelele yote haya.
 
Lakini ni CCM mwanzako huyo!
mimi ni mtaalamu na mwanasiasa muandamizi wa kitaifa na kimataifa gentleman,

sizingatia chama cha mtoa hoja kuelezea fikra, mtazamo au maoni yangu gentleman, nashuka nae jumla jumla kitaalamu kadiri inavyofaa na inavyotakiwa bila kuchelewa wala kuwahi 🐒
 
Mpimeni afya ya Akili,Mirembe na Bungeni karibu!
 
Makonda hakuwepo kwenye msiba wa mama yake na magufuri bhana acha uongo
Ninyi hamjan'gamua hii kauli ya huyu mbunge, yuda anayeongelewa hapa ni Makonda. Kawaumiza wanasiasa na wengine walikuwa mbele leo wako nyuma upande wa wabunge kule( Nape) kawaumiza wafanyabiashara (GSM). Hata familia iliyomlea leo haimtaki karibu(Familia ya Samwel Sita). Magufuli alimtupa mbali nje ya dunia( Alimuondoa kwenye ukuu wa mkoa na kwenye mfumo kiujumla).
M
 
Vita ya gizani ya system imehamia nuruni!!
Muhusika ametumika kumfanya yuda apendwe,aonewe huruma,apiganiwe hasa na huku bara!!!

Kifupi mjumbe analikuza jina la yuda kuliko hata yuda mwenyewe na no rasmi pale mjengoni yuda anao wengi wanaomuunga mkono ndio maana hakuna makofi Wala vigelegeke wakati yuda anatajwa!!!

Kazi na utu,tunasongambele!!!
 
Miaka inavyozidi kwenda ndio mambo yanazidi kuwa matamu, maana watu Wana vinyongo vyao binafsi wanatafuta mahali pa kusemea...Nchi itazidi kuingia gizani kama hakutakuwa na watu au mfumo wa kurekebisha mambo...
 
Mngedili na yuda peke yake na genge lake pengine tungewaelewa kdogo..ila kosa mlilolifanya ni kwenda kuua vijana wetu zaidi ya 518 kwsbb ya kugombea kiti
Hii dhambi haiwezi kuwaacha salama chura kiziwi na genge lako..mm binafsi nasimama na yuda mapambano yaendelee
 
Back
Top Bottom